Wadau, amani iwe kwenu.
Sasa ni dhahiri kwamba Dr Slaa amemfunika kabisa Lowasa kwenye media. Ukiangalia hata hapa JF utaona kuwa mada nyingi zinazoanzishwa ni zile zinazomhusu Dr Slaa. Pia mada zinazomhusu Slaa zinakuwa na wachangiaji wengi kuliko zile za Lowasa. Hii ni dhahiri kwamba umaarufu wa Dr Slaa ambaye alikuwa mhimili muhimu ndani ya CHADEMA na UKAWA unazidi ule wa Lowasa ambao unazidi kuporomoka kila kukicha.
Watu wa media wamekata tamaa kwa vile fedha walizokuwa wanapewa ili wamwandike vizuri Lowasa zinazidi kupungua kila siku. Vijana wake mitandaoni nao hali ni mbaya sana.
Hakika CHADEMA wanajuuutaaaaa kuchukua fisadi Lowasa. Dr Slaa hakukosea aliposema kuwa walichofanya CHADEMA ni kama kupakua kinyesi kwenye choo na kuweka chumbani kwako. Sasa CHADEMA hapakaliki. Wamekuwa kama wajenzi wa mnara wa Babeli. Kila mtu anasema lake. Wamefikia hatua ya kumlaghai Rose Kamili ili amseme vibaya mzazi mwenzake lakini haijasaidia kitu zaidi ya yule mama kujidhalilisha tu na kudharauliwa na wanawake wenzake.
Dr Slaa unatisha. Mapambano dhidi ya fisadi Lowasa yanaendelea na sisi humu tunazidi kupigilia misumari ya moto. Mpaka Oktoba 25 watakuwa wamechakazwa vibaya na wamekuwa ndembendembe
Yes, kwa kuchemka... But not affecting voters decisions
CHADEMA wanajuta sana kumchukua Lowasa. Sijui hawakujua kama ufisadi na uadilifu ni vitu visivyochangamana! Nawasikitikia sana maana wamekiua chama kwa tamaa za Mbowe. Sasa wanashikwa na kwikwi kutamka neno fisadi
Babu Slaa kamfunika Lowassa katika media kwa mambo mabaya.Ndani ya wiki moja atasahaulika katika media zote.Rejea jinsi Ndugu Zitto alivyopotea katika media.
UKAWA ndiyo mmechnganyikiwa. Fisadi lowasa aliambiwa arudishe hela za marafiki zake sasa akishindwa tena lazima mfe naye kwa presha. Na ninyi ni wapumbavu na malofa yaani hamjui apson na marando wameusuka huu mpango kuharibu nguvu ya upinzani mnadhani mtashinda? Wewe subiri viongozi wenu by october watapingana na kurushiana ngumi au kupigana wao kwa wao. Si unakumbuka ilivyosambaratika nncr? Labda kama ulikuwa mtoto. Kama una akili huwezi kushabikia kinachoendelea chadema hata kidogo.
Moderator unganisheni na huu UZI au na nyie ni Ccm
Maana wengine tukiweka mawazo mnaunga sasa na huu tunasubiri tuone mtasubiri ufike page ya ngapi.
Nyie watu wa Ukawa narudia kusema, hamjielewi, Dr kamaliza saa4 kuhojiwa ni vp magazeti yangeandika na kuhariri habari alafu itoke leo.Zitatoka kesho.
Magufuli angekuwa MSABATO tungesema tumepata mtu wa fungu la kukariri kwenye shule ya sabato sehemu ya kwanza
Lakini watanzania tumechoka na maneno,tunataka mtu sasa wa kufikiri na kutenda
ANBEN Bank & Kiwira coal oyeeee!!!( in makorongo voice)
Hakikisha mwana harakati wa ukweli unae penda mabadiliko ya kweli unasimamia ukweli, na kumuepuka mtu ambae chama kime muhubiria yakuwa ni fisadi kwa miak nane lakini sasa amekua msafi. tuwe makini, tupinge vikali hali hii. nakuunga mkono dr slaa.
Dr Slaa anakudanganya, ugomvi wake ni kuporwa ugombea na marupurupu kama ya 2010
Endelea kujifariji. Utakuwa ni punguani kama utadharau nguvu ya Dr Slaa
Endelea kujifariji. Utakuwa ni punguani kama utadharau nguvu ya Dr Slaa