Dr. Slaa amechuja sana kisiasa

Dr. Slaa amechuja sana kisiasa

Status
Not open for further replies.

ifweero

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2013
Posts
7,957
Reaction score
1,341
Hana tena mvuto, kasi ya kuchuja kwake inachagizwa zaidi na mpasuko uliokikumba chama chake CHADEMA mwaka jana ambao umekiacha chama na majeraha yasiyotibika kirahisi.

UKAWA ulimbeba kwa kiwango flani lakini nao wameanza kumshtukia kutaka kuwavuruga na kujijenga mwenyewe badala ya ukawa as a team ya wapinzani.

My take. Slaa apimzike tu abaki na majukumu ya familia.
 
Ana heri aliyechoka kuliko mdanganyifu wa umri, jina na daraja la shahada.Alaaniwe fisadi msaka urais wa Tanzania. Dr. Slaa ni mwanasiasa mkomavu, mwelevu,aliyejaa weledi na tunayemhitaji kwa Tanzania tuliyonayo. Long live Dr.Wilbrod Peter Slaa. Tunakuhitaji Dr.Slaa.Wewe furahisha baraza lakini Dr. Slaa anabaki wa kipekee
 
usiwasemee watanzania. jisemee wewe kuwa unamhitaji. maneno ambayo nadhani angepaswa kuyasema josephine
 
Mleta uzi Umemaliza? Pole kwa usingizi mzito, sasa nenda kalale tena, uote njozi tena na tena.
 
.....yupi unayeweza kumlinganisha na DR.SLAA HAPA TZ,WEWE UNAONA RAHISI KUTAMKA LIST OF SHAME.......NDIO WALE WALE MAFISADI WANAOENDELEA KUUMIZA NCHI HII
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom