Dr Slaa amaliza ziara Marekani

Dr Slaa amaliza ziara Marekani

~mkoa unaoongoza kwa umasikini_singida
~mkoa unoongoza kwa kutoa mahouse girls_singida
~nyumba za tembe_singida
~kwa shida ya maji_singida
~kwa elimu_singida.
nilitegemea ungejikita kupigana na hizo changamoto kuliko kumshambulia dr slaa ambaye ameikomboa Karatu na sasa Taifa!

Ndugu sio Mausgirl ni Ma-Baa-Medi.
 
Mbona mnatachanganya Dr.Slaa kwenye hotuba yake anasema watanzania wamemtuma Marekani, mleta mada anasema alialikwa na vyuo vikubwa Marekani.
 
Namfananisha Dr Slaa na Nyerere.

Watanzania tunapaswa kuona mbali na si hapahapa.

Mtoa mada kasema Dr anashangaza kwa kile cha kutotaka misaada na badala yake skill. Tukienda hivi basi tutafika tutakako.

Tuelimishwe tu jinsi ya kuvitumia tulivyonavyo. Hii ndo sauti ya Dr.
Hii sasa ni kufuru,kijana Dr amekufanya nini mpaka utake kumfananisha na Nyerere?
 
Dr. Slaa umetuwakilisha vema kama taifa. Afadhali sasa hata hao tunaowapelekea mabakuli watapunguza dharau. Maana tangu uhuru tumekuwa tukipeleka mabakuli lakini hawana imani na sisi. Huyu wa sasa kazi ni kucheka cheka tu na kulazimisha apewe PhD za heshima. Wakimtazama kichwani wanaona taswira ya NAZI KOROMA
 
Taifa ni watu..na watu ndio sisi. Sisi tumemwamini Slaa. Taifa linamwami. Mamilioni ya Watanzania tunamwamini. Taifa limemtuma Slaa...

Kwa hiyo na Josephine mlimtuma awaite watanzania waliopo ngambo ni wakimbizi?
 
Hii sasa ni kufuru,kijana Dr amekufanya nini mpaka utake kumfananisha na huyu bazazi?

Nyerere hawezi kuwa bazazi. Mabazazi ni wale wajinga wanaokubali kufanywa ngazi na CCM halafu walichoahidiwa hakitekelezwi.
 
Hii sasa ni kufuru,kijana Dr amekufanya nini mpaka utake kumfananisha na Nyerere?

Nyerere hawezi kuwa jambazi. Ndio maana Alhaji Kikwete yupo ndani ya KANISA KUU KATOLIKI la Iringa akishiriki kuumega mkate katika harakati za kumwombea Mwenyeheri NYERERE
 
Kwa hiyo na Josephine mlimtuma awaite watanzania waliopo ngambo ni wakimbizi?

Dr. Slaa anarejea nchini baada ya kuwadhihirishia Wamarekani kuwa Tanzania ina watu wenye akili. Sio wale waliowazoea wanaochekacheka hovyo
 
Yes, kwa njia hii ya kilaghai utakuwa umefika.
Ungekuwa unajikita kwenye hoja tungejadili lakini post zako nyingi ni za kushambulia mtu hasa Slaa badala ya issue,

Nimefanya utafiti(observation ndogo) post zenu nyingi huwa hazikosi maneno ya--padri, mchumba, dj, mke wa mtu mkidhani ndiyo kujenga hoja nje ya hapo Lumumba hamna lolote.

Kwa cheo chako nilitegemea nisikie unaichambua ziara ya Slaa kwa kuleta data za employment, ubora wa elimu yetu, madhara au uzuri wa misaada nk kuliko kujikita kwenye maisha ya Slaa na mke wake.
 
Kweli kipofu akiona mwezi inakuwa ni balaa.

inaonesha ni kwa kiasi gani ulivo huna hekima. kabla hujamdharau kipofu, piga picha kama wewe ndo ungekuwa kipofu hali ingekuwaje. heshimu kila mtu, bila kujali hali ya maumbile yake.
 
Haya sasa misukule ya Ufipa nendeni airport mkampokee master wenu anakuja,Molemo usisahau kuchukua mbeleko ya kumbebea junior

Junior ni binadamu kama wewe. Ndio maana Mama yako alivyokuzaa alinunua mbeleko ili akuache na YAYA wakati yeye anapuyanga. Ndio maana akili zako ni 100% UMEBEMENDWA
 
Nyerere hawezi kuwa bazazi. Mabazazi ni wale wajinga wanaokubali kufanywa ngazi na CCM halafu walichoahidiwa hakitekelezwi.
Sorry ilikuwa ni typing errors Labda nikuulize swali,Hivi na wewe unaweza kuthubutu mbele za watu wenye akili timamu ukamfananisha Dr Slaa na Mwalimu?

Mbona mnatachanganya Dr.Slaa kwenye hotuba yake anasema watanzania wamemtuma Marekani, mleta mada anasema alialikwa na vyuo vikubwa Marekani.

aaaa ritz acha basi mbona vyote vinawezekana....wakati mmoja mahali pamoja siku tofauti....
tusubiri slaa arudi atupe mjumuisho jk akienda huwa akirudi hatuoni jipya
 
Junior ni binadamu kama wewe. Ndio maana Mama yako alivyokuzaa alinunua mbeleko ili akuache na YAYA wakati yeye anapuyanga. Ndio maana akili zako ni 100% UMEBEMENDWA

Kwani Josephine alienda kupuyanga? si mlimtuma sasa kuna ubaya gani mkambeba junior?
 
Namfananisha Dr Slaa na Nyerere.

Watanzania tunapaswa kuona mbali na si hapahapa.

Mtoa mada kasema Dr anashangaza kwa kile cha kutotaka misaada na badala yake skill. Tukienda hivi basi tutafika tutakako.

Tuelimishwe tu jinsi ya kuvitumia tulivyonavyo. Hii ndo sauti ya Dr.

Asante kwa mchango wako mzuri.Dr kaliwakilisha Taifa vyema.
 
Mbona mnatachanganya Dr.Slaa kwenye hotuba yake anasema watanzania wamemtuma Marekani, mleta mada anasema alialikwa na vyuo vikubwa Marekani.
Kwa hiyo unataka kusema nini ziara haikufanyika?

Watu wa busara zao wanajiuliza je lengo la ziara limetimia? ila wasio na hoja watajadili kaenda na nani alialikwa na nani, atanunua nini.
 
Hapo kachemka wasitoe misaada ya pesa na watu wao wakale wapi? Unaipa msaada nchi pesa halafu unaleta watu wako waje kuzibomolea huku kama wasimamizi wa hizo pesa na hayo uliyotolea msaada.Misaada ya pesa haiji kukoma ng`o.Na ambao hataki ikomeshwe kama hajui ni hao wanaotoa wenyewe.Hiyo hotuba aliyotoa ni mwiba kwa CHADEMA.Hawajaangalia wanaowahutubia huwa wanapenda nini.Saa hii watakuwa wamejifungia ndani wanaichambua kama karanga.Take it from me CHADEMA isahau misaada ya fedha toka kwenye nchi hizo walikohutubia.CHADEMA misaada ya fedha toka nje ikipungua wasishangae hotuba zao zimewaponza.
wewe ni limbukeni sana .Kwani Tanzania ina raslimali ngapi kama itaamua kuzitumia vizuri kwa kuziutilaizi yenyewe na kwa kuajiri watu wenye utaalam kutoka nje na kukopa mtaji ili kuziuzia nci za nje badala ya nchi za nje kuja kuchimba wao na kupeeleka zikiwa malighafi kwao ,halafu wanarudi tena kutuuzia kama malighafi kwa ajiri ya viwanda vyetu ( kama ambavyo india ununua koroso gafi wanazipaki alafu wao ndo wanajiita wazalisaji wakubwa wa koroso duniani NA TUNAENDA KUNUNUA TENA NA KUZIUZA KWENYE SUPERMARKET ZETU )na pia nyingine zinarudi kama vifaa feki. Sasa nawe tukuite msomi au ulifuta ujinga. Msomi ambae elimu yake aiwezi kumsaidia kuondoa matatizo na vikwazo katika maisa yake ni sawa na mfu anaetembea.
 
Back
Top Bottom