Dr Slaa amaliza ziara Marekani

Dr Slaa amaliza ziara Marekani

Mkuu unakujaga na point halafu unaharibu tena,short temper siyo nzuri kwenye mambo muhimu,jibu maswali kwa hoja

Siwezi kujibu mtu anayetumia ID kama 10 kutukana watu wengine.Huyo mtu yupo shift leo akibadili ID
 
Hapo kachemka wasitoe misaada ya pesa na watu wao wakale wapi? Unaipa msaada nchi pesa halafu unaleta watu wako waje kuzibomolea huku kama wasimamizi wa hizo pesa na hayo uliyotolea msaada.Misaada ya pesa haiji kukoma ng`o.Na ambao hataki ikomeshwe kama hajui ni hao wanaotoa wenyewe.Hiyo hotuba aliyotoa ni mwiba kwa CHADEMA.Hawajaangalia wanaowahutubia huwa wanapenda nini.Saa hii watakuwa wamejifungia ndani wanaichambua kama karanga.Take it from me CHADEMA isahau misaada ya fedha toka kwenye nchi hizo walikohutubia.CHADEMA misaada ya fedha toka nje ikipungua wasishangae hotuba zao zimewaponza.

vp unasteam za viroba asubuhi asubuhi ?mbona haueleweki?
 
Mkuu unakujaga na point halafu unaharibu tena,short temper siyo nzuri kwenye mambo muhimu,jibu maswali kwa hoja

Hao Lumumba Team (LT) wanajulikana na dawa yao ni kuwapa za uso watoke manundu
 
Nafikiri alichotaka kusema Slaa kama padri mfukuzwa anayejua maadili ya ndoa aliyokuwa akifundisha wakati padri alitakiwa asafiri na mke wa ndoa aliyefunga naye kwa kanuni za kikatoliki.Lakini huyo aliyeenda naye (of-course walikuwa wanalala naye) kachemka.Ila lugha aliyotumia mwandishi kali lakini ujumbe ndio huo.

Mungu mkubwa.Nimekupa za uso mpaka umejipambanua wewe ni nani.Kwa sababu wanajamvi walikuwa wanadhani wewe ni mtu wa maana!

CC Crashwise Mwita Maranya Ben Saanane Mungi Mzito Kabwela
 
Last edited by a moderator:
Nafikiri alichotaka kusema Slaa kama padri mfukuzwa anayejua maadili ya ndoa aliyokuwa akifundisha wakati padri alitakiwa asafiri na mke wa ndoa aliyefunga naye kwa kanuni za kikatoliki.Lakini huyo aliyeenda naye (of-course walikuwa wanalala naye) kachemka.Ila lugha aliyotumia mwandishi kali lakini ujumbe ndio huo.
Kenye bold ndicho nilichomaanisha hiyo si lugha ya kutumiwa na kiongozi wa hadhi yake,

hayo mengi ya sijui Slaa alikuwa padri hajaoa mimi hayanihusu na wala si mageni kinachonihusu ni lugha iliyotumika.
 
Huyu Babu angeoa kabisa,asiwape watu la kusema,hizi lugha za taaarifa za CDM eti Dr.Slaa akiwa na mchumba wake wameanza ziara USA zina kera,wazee wako wapi?kama waliweza kumwambia ZITTO ajitoe na MBOE akagombea bila kupigwa.kinashindikana nini kwa Slaa ?? ili achukuwe mzigo jumla!!!sasa inakuwa mtu mzima michezo ajamaliza?mbona anataka kuharibikia uzeeni?Kumbe wakina MDEE ,ZITTO na MNYIKA wanachelewa kufunga ndoa wana msubiri yeye kwanza,BABU.
 
Huwa huna hadhi ya kujibu post yangu.You are in my Ignore List!
Bavicha ni majanga. Hata kujenga hoja pia ni majanga.

ID iko kwenye ignore list yako bado unaendelea kuona bandiko lake nakulijibu. You're just fooling yourself.

Mimi sijibu post yako bali ninajibu bandiko lililoko kwenye jukwaa la siasa.

Kama unapenda kuwa na selective and absolute copyright, google upate ufahamu wa process zinazotumika katika ubinafsishaji.
 
Tukajipange Airport kumpoke, kama CUF! Prof akienda kupiga dili zake, akirudi anafanyiwa mapokezi ya hatari!
 
Dah! Hatimaye Kamanda Slaa amerudi kutoka shopping na shemeji yetu Mushumbusi,ngoja atupigie hesabu za gharama ya safari ya kamanda wetu,tunasubiri kwa hamu!
 
..Sijaona umuhimu wa hii ziara kwa Taifa..
Hii ziara haiwezi kuwa ya kitaifa kwa kuwa taifa halijawahi kumuamini katika masuala yake wala halijamtuma kufanya lolote.
 
Namfananisha Dr Slaa na Nyerere.

Watanzania tunapaswa kuona mbali na si hapahapa.

Mtoa mada kasema Dr anashangaza kwa kile cha kutotaka misaada na badala yake skill. Tukienda hivi basi tutafika tutakako.

Tuelimishwe tu jinsi ya kuvitumia tulivyonavyo. Hii ndo sauti ya Dr.
 
Hii ziara haiwezi kuwa ya kitaifa kwa kuwa taifa halijawahi kumuamini katika masuala yake wala halijamtuma kufanya lolote.

Taifa ni watu..na watu ndio sisi. Sisi tumemwamini Slaa. Taifa linamwami. Mamilioni ya Watanzania tunamwamini. Taifa limemtuma Slaa...
 
Back
Top Bottom