Leo nimezidi kuumia kukuta gazeti letu kongwe, MZALENDO linakuja na vichwa visivyo na mvuto mbele ya jamii ya watanzania wa siku hizi:
1. Dr. Slaa alitaka kujiuzulu Chadema
2. Chadema Wamgwaya Shibuda
3. Uchumi wa Tanzania wavuka lengo mwaka 2011.
Kiukweli mhariri wa gazeti hili anakula mshahara pasipo kutoa tija; hivi vichwa wa habari haviingii akilini kwa watanzania kwani uhalisia ni tofauti.
NI VIZURI WANACCM TUKAE CHINI NA kupanga mbinu mpya za kukabiliana na CDM, ikibidi kama noma iwe noma, UKANDA WA PWANI wasifanikiwe kufanya mikutano, Mtwara na Lindi suala la Korosho litatuumbua.
This is not a best strategy.
If CCM will embarks on fighting CHADEMA, they will not save the people.
MY TAKE: Kabiliana (fight) with CHADEMA by making MAISHA BORA KWA KILA MTU a reality
yaani nikafikiri ni habar yenye kina kumbe uzush mtupu na bahat mbaya siku hiz magazet hayaamiki sana sana yamekua kama ya shigongo
Leo nimezidi kuumia kukuta gazeti letu kongwe, MZALENDO linakuja na vichwa visivyo na mvuto mbele ya jamii ya watanzania wa siku hizi:
1. Dr. Slaa alitaka kujiuzulu Chadema
2. Chadema Wamgwaya Shibuda
3. Uchumi wa Tanzania wavuka lengo mwaka 2012
Kiukweli mhariri wa gazeti hili anakula mshahara pasipo kutoa tija; hivi vichwa wa habari haviingii akilini kwa watanzania kwani uhalisia ni tofauti.
NI VIZURI WANACCM TUKAE CHINI NA kupanga mbinu mpya za kukabiliana na CDM, ikibidi kama noma iwe noma, UKANDA WA PWANI wasifanikiwe kufanya mikutano, Mtwara na Lindi suala la Korosho litatuumbua.
Leo nimezidi kuumia kukuta gazeti letu kongwe, MZALENDO linakuja na vichwa visivyo na mvuto mbele ya jamii ya watanzania wa siku hizi:
1. Dr. Slaa alitaka kujiuzulu Chadema
2. Chadema Wamgwaya Shibuda
3. Uchumi wa Tanzania wavuka lengo mwaka 2011.
Kiukweli mhariri wa gazeti hili anakula mshahara pasipo kutoa tija; hivi vichwa wa habari haviingii akilini kwa watanzania kwani uhalisia ni tofauti.
NI VIZURI WANACCM TUKAE CHINI NA kupanga mbinu mpya za kukabiliana na CDM, ikibidi kama noma iwe noma, UKANDA WA PWANI wasifanikiwe kufanya mikutano, Mtwara na Lindi suala la Korosho litatuumbua.
Wewe si mwana CCM si useme ukweli unajificha nini kujitangaza kama wewe si mwana CCM bali ni mpinzani unafiki si mzuri labda uvue gwanda uvae uzalendo na ujue ukiwa mnafiki sana mwisho wake utakuwa mchawi!
Nasikia magamba wana bajeti ya kulinunua gazeti lao maana hata nakala 5,000 huwa haziuzwi nationwide kwa siku.