Dr. Slaa Almanusra Ajiuzulu Chadema, Sasa CCM tumechoka!!

Sijaelewa, labda ungetoa content ya hiyo habari tuisome kwanza ndipo tutaweza kutoa mawazo yetu vizuri zaidi.
 
Leo nimezidi kuumia kukuta gazeti letu kongwe, MZALENDO linakuja na vichwa visivyo na mvuto mbele ya jamii ya watanzania wa siku hizi:
1. Dr. Slaa alitaka kujiuzulu Chadema
2. Chadema Wamgwaya Shibuda
3. Uchumi wa Tanzania wavuka lengo mwaka 2011.

Kiukweli mhariri wa gazeti hili anakula mshahara pasipo kutoa tija; hivi vichwa wa habari haviingii akilini kwa watanzania kwani uhalisia ni tofauti.

NI VIZURI WANACCM TUKAE CHINI NA kupanga mbinu mpya za kukabiliana na CDM, ikibidi kama noma iwe noma, UKANDA WA PWANI wasifanikiwe kufanya mikutano, Mtwara na Lindi suala la Korosho litatuumbua.

Chadema wanaanza mikutano Kanda ya kusini mikoa ya Mtwara na Lindi kuanzia tarehe 28-may-2012. Je, huko nako wataita operesheni hiyo SANGARA au? I mean kama ile waliyofanya kanda ya kaskazini ambayo ilipelekea wao kuvuna wabunge watatu Jiji la Mwanza? Naomba majibu plz.
 
Hivi Mzalendo nalo gazeti? Nildhani limeshakufa siku nyiiiiiiiiiingi kama lilivyokufa gazeti la Uhuru sasa yamebaki makapi tu kama ya mafuta ya alizeti.
 
This is not a best strategy.
If CCM will embarks on fighting CHADEMA, they will not save the people.
MY TAKE: Kabiliana (fight) with CHADEMA by making MAISHA BORA KWA KILA MTU a reality

I conquer with you .....but epuka mistakes ndogo katika lugha.
 
uhuru na mzarendo? kwani bado yapo?,mbona hata kwenye ofisini nyingi za derikali ya ccm hukuti uhuru wala mzalendo.Utakuta mwananchi,nipashe,majira,the gadian na hili lao ya kiingereza daily neuz,sasa kama hayo magazeti yamekosa mvuto kwa hayo magamba yenyewe,nani atanunua mtaani? hawa jamaa nadhani nata nakala 1,000 nchi nzima hawauzi kwa siku,mimi binafsi hata nemba za hayo magazeti nmeshazisahau
 
Unajua CCM wamejisahau kama wao ni serikali......wanadhani ni Chama cha upinzani,badala ya kutatua matatizo yanayowakabili wananchi wao...wenyewe wanaangalia chadema wanafanya nini!
 
yaani nikafikiri ni habar yenye kina kumbe uzush mtupu na bahat mbaya siku hiz magazet hayaamiki sana sana yamekua kama ya shigongo

Ha ha haaa.. Aisee ukiwaambia Hao mZalendo kwamba gazeti Lao Liko mbioni kuingizwa kwenye orodha ya magazeti ya shigongo nadhani watakupigia magoti.. Manake Kama kuna magezeti kero Na nuksi Kwa jamii inayotafuta ustaarabu Basi ni hayo ya shigongo..
Nadhani hata mwenyewe mmiliki akili zake ndo ivo tena Mara utaskia ujasiliamali Wa fukara , street University .. Mh
 
Leo nimezidi kuumia kukuta gazeti letu kongwe, MZALENDO linakuja na vichwa visivyo na mvuto mbele ya jamii ya watanzania wa siku hizi:
1. Dr. Slaa alitaka kujiuzulu Chadema
2. Chadema Wamgwaya Shibuda
3. Uchumi wa Tanzania wavuka lengo mwaka 2012

Kiukweli mhariri wa gazeti hili anakula mshahara pasipo kutoa tija; hivi vichwa wa habari haviingii akilini kwa watanzania kwani uhalisia ni tofauti.

NI VIZURI WANACCM TUKAE CHINI NA kupanga mbinu mpya za kukabiliana na CDM, ikibidi kama noma iwe noma, UKANDA WA PWANI wasifanikiwe kufanya mikutano, Mtwara na Lindi suala la Korosho litatuumbua.

Hivi ili gazeti uwa bado lipo?

Tiba
 
Leo nimezidi kuumia kukuta gazeti letu kongwe, MZALENDO linakuja na vichwa visivyo na mvuto mbele ya jamii ya watanzania wa siku hizi:
1. Dr. Slaa alitaka kujiuzulu Chadema
2. Chadema Wamgwaya Shibuda
3. Uchumi wa Tanzania wavuka lengo mwaka 2011.

Kiukweli mhariri wa gazeti hili anakula mshahara pasipo kutoa tija; hivi vichwa wa habari haviingii akilini kwa watanzania kwani uhalisia ni tofauti.

NI VIZURI WANACCM TUKAE CHINI NA kupanga mbinu mpya za kukabiliana na CDM, ikibidi kama noma iwe noma, UKANDA WA PWANI wasifanikiwe kufanya mikutano, Mtwara na Lindi suala la Korosho litatuumbua.

Wewe si mwana CCM si useme ukweli unajificha nini kujitangaza kama wewe si mwana CCM bali ni mpinzani unafiki si mzuri labda uvue gwanda uvae uzalendo na ujue ukiwa mnafiki sana mwisho wake utakuwa mchawi!
 
Mafilifili hebu tazana kwa vichwa kama hvyo wanaccm tunaonekana wajinga kabisa!
 
Wewe si mwana CCM si useme ukweli unajificha nini kujitangaza kama wewe si mwana CCM bali ni mpinzani unafiki si mzuri labda uvue gwanda uvae uzalendo na ujue ukiwa mnafiki sana mwisho wake utakuwa mchawi!

Nape hata ukijificha vp utaonekana kwa pumba zako!
 
Jana kuna mtu hapa aliulizia kuhusu kichwa cha habari gazeti la uhuru, leo likaja Mzalendo, na kuna watu walipatia aina ya heading itakayotoka front page!!!!!
 
Jana tulishauliwa tusiwaite CCM bali Ninyi M hawana jipya hata gazeti lenyewe hilo likifungiwa kitumbua sikili.
 
Nasikia magamba wana bajeti ya kulinunua gazeti lao maana hata nakala 5,000 huwa haziuzwi nationwide kwa siku.

Kaka, Hili gazeti sikuhizi linasambazwa kwenye ofisi za serekali tu. Tena kama hakuna habari ya chadema hakuna anayejisumbua kusoma. Ndio sababu inayomlazimu huyo mhariri kuandika hayo ili apate wasomaji.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom