MwanzoMugumu
Member
- Jan 27, 2012
- 24
- 22
Katibu Mkuu wa Chadema Dr. W.P. Slaa amelipa Bungwe na serikali kwa ujumla kupitia kwa katibu wake Dr. Thomas kushughulikia Kashilila matibau ya Mhe. Hyness Kiwia mbunge wa Ilemela kufuatia kujrehuiwa na watu wanaosadikika kuwa ni wafuasi wa CCM march 31, 2012 eneo la Kirumba jijini Mwanza wakati wa kumpata diwani wa kata hiyo.
Ameyasema hayo leo 22.April, 2012 wakati akihutubia maelefu ya wakazi wa jiji la Mwanza katika viwanja vya Sahara. Amesema kama serikali na bunge hawatafanya hivyo atawaomba watanzania kumchagia ilim apate matibabu. Ameongeza kusema hiyo itakuwa imedhihirisha kwamba serikali ilihusika moja kwa moja katika tukio hilo.
Huku akishangiliwa na maelefu ya wana-Mwanza alisema taarifa za nani alihusika vipi zote wanazo wnaitaka serikali na bunge kutimiza wajibu wake kwakuwa kuna viongozi wamekuwa wakipelekwa matibabu nje ya nchi hata kwa kuumwa mafua tu.