Dr. Slaa alipa Bunge na Serikali siku tatu (3)

Katibu Mkuu wa Chadema Dr. W.P. Slaa amelipa Bungwe na serikali kwa ujumla kupitia kwa katibu wake Dr. Thomas kushughulikia Kashilila matibau ya Mhe. Hyness Kiwia mbunge wa Ilemela kufuatia kujrehuiwa na watu wanaosadikika kuwa ni wafuasi wa CCM march 31, 2012 eneo la Kirumba jijini Mwanza wakati wa kumpata diwani wa kata hiyo. Ameyasema hayo leo 22.April, 2012 wakati akihutubia maelefu ya wakazi wa jiji la Mwanza katika viwanja vya Sahara. Amesema kama serikali na bunge hawatafanya hivyo atawaomba watanzania kumchagia ilim apate matibabu. Ameongeza kusema hiyo itakuwa imedhihirisha kwamba serikali ilihusika moja kwa moja katika tukio hilo. Huku akishangiliwa na maelefu ya wana-Mwanza alisema taarifa za nani alihusika vipi zote wanazo wnaitaka serikali na bunge kutimiza wajibu wake kwakuwa kuna viongozi wamekuwa wakipelekwa matibabu nje ya nchi hata kwa kuumwa mafua tu.

kwani hana bima ya afya?..mbona mnapenda ku complicate issue nyinyi
 
Shida yake anataka watibiwe nje ya nchi au anataka nini?haya matibabu bunge cndo linalipa?huyo domokaya hatuwez kutawaliwa na fisad asiyeogopa hata hela ya kanisa

nimeshindwa nikuweke kwenye kundi gani...huna cfa za kuwa member wa jf!
 
Lowassa alienda Ujerumani kucheki macho baada ya kushauriwa na 'wazungu' kuwa kutokana na mizunguko mingi kuwaona wananchi, macho yake yanahitaji check up
 
kwani hana bima ya afya?..mbona mnapenda ku complicate issue nyinyi

Hacha ***** wewe,kwani wanaopelekwaga nje ya nchi hawana bima za afya?unafikiria terms and conditions za bima za afya zote ziko sawa??au unaropoka tu? ******* mkubwa
 
Shida yake anataka watibiwe nje ya nchi au anataka nini?haya matibabu bunge cndo linalipa?huyo domokaya hatuwez kutawaliwa na fisad asiyeogopa hata hela ya kanisa

kutumia unafiki kufikiri badala ya akili ndo tatizo lako,je ni gazeti lipi liliandika Dr. Slaa kala hela za kanisa? achana na kauli za mzembe Wasira,je unaweza leta ushahidi kwa uloandika?au ndo nyie mdandiao mambo bila kujua!yaelekea mkimkuta mtu anapigwa njiani nawe unaungana kutoa kipigo bila kujua kosa la huyo anayepigwa.ushauri wa bure achana na umbeya hautokusaidia yakubidi urudi shule chekechea ili uwe sawa,la sivyo u mzigo kwenye familia yako.
 
Sina la kusema. Mungu ingilia kati. Angalia haki zetu na toa adhabu kwa waovu sawasawa na yale maumivu tunasababishiwa na waovu
 
wito wa kumpa matibabu kiwia yanaingiliana vipi na mustakhabali wa maisha ya Dr.Slaa? hebu tutumie akili japo kidogo kufikiri mambo mara mbili. magamba kitendo mlichokifanya mwanza hukumu yake ipo mbioni nanyi mnajua hasira za nguvu ya umma. endeleeni kuchochea moto unaoendelea kuwaka kwa kasi. wakulima tandimba na dc wao, wapiga kura na majeneza ya magamba na kande za kilio huko kiwira, kasi ya wanachama kuhamia cdm. huu ni mwanzo wa tsunami ya magamba THIS IS FOR REAL NO WAY BACK
 
Dada Faiza Foxy umerudi lini? Karibu tena,

Siku 21 ziliisha siku hiz anatoa siku 7?

Ama kweli wajinga ndio waliwao. Ana ubavu gani huyu wa kuwapa polisi amri? aesahau alipojificha nyuma ya maspika kule Arusha? amesahau walivyomsweka ndani Mbowe alipojidai kubeza mahakama? asiwachokoze tena, hao ni watu wakali sana wanapoamua.
 
Magamba yanafanana yote, liwe la nyoka, mamba, kenge, mjusi hata la kikwete ni sawa sawa yote! Mnajisikia raha gani mbunge wetu, kupigwa mapanga na mashoka na green guards harafu asitibiwe? Mbona mna roho mbaya hivyo magamba? Afadhali ya roho ya fisi kuliko nyie, wana wa izaya nyie!

Sasa hapa ndio umechangia nn? Tatizo lenu cdm hoja hamna ni matusi tu
 
Nyie vbaraka wa ccm kuweni makini ...acheni kuwa michuzi mbwambwambwa kma wafanya biashara wa kunguni mchana wanakula happy thn ucku majanga...bora kuwa na tabia mbya kuliko ktokuwa na tabia kbsaa,tangu lini mnatka kokoteni livte pundaa?
 
Shida yake anataka watibiwe nje ya nchi au anataka nini?haya matibabu bunge cndo linalipa?huyo domokaya hatuwez kutawaliwa na fisad asiyeogopa hata hela ya kanisa

Do, I say unaonekana una hasira sana na Chadema. Vipi, na wewe umetakiwa kijiuzulu nini, au ndugu yako anaelekea kumwaga unga! POle rafiki yangu. Ndio siasa hizi, kuna kufaidika na kuumia.
 
Acha unafiki wewe!! Nafahamu kuwa hata nafsi yako inakusuta kwamba unachoandika ni tofauti na unachoamini. Wewe endelea kuuchapa usingizi kimpango wako kwani wenzako hawako tena tayari kuendelea kudanganywa kama wewe ambaye unatumiwa tu kama vuvuzela. CCM wamekosa hoja za kujenga dhidi ya wapinzani wao na sasa wanazidi kusogezwa kwenye kona ya ulingo, na mpambano ndio hivyo unawashinda. Hakuna zuzu wa kudanganywa zama hivi wewe ni bora ukabaki kimya watu wakadhani kuwa wewe ni mjinga kuliko kubwabwaja watu wakapat uhakika kuwa ndio nunda wa kwanza!!!!!! CHADEMA kitaendelea kuwa chama cha wengi tu hata ukijaribu kupotosha ukweli. Mr. Ribosome endelea kudanganywa tu, kwani ni kawaida ya CCM kudanganya hadharani kam Mzee Pindo alivyopindisha ukweli kuhusu mauaji ya Arusha bungeni. Uongo ni kama jadi ya CCM.
 
Shida yake anataka watibiwe nje ya nchi au anataka nini?haya matibabu bunge cndo linalipa?huyo domokaya hatuwez kutawaliwa na fisad asiyeogopa hata hela ya kanisa
Nenda kajisaidia haja kubwa = ushuzi wako unaathiri hata fikra zako. Wewe ni kati ya polisi waliompiga Kiwia tunakujua.Kilaza wa HEAD!!
 
Back
Top Bottom