Dr. Slaa alipa Bunge na Serikali siku tatu (3)

Katibu Mkuu wa Chadema Dr. W.P. Slaa amelipa Bungwe na serikali kwa ujumla kupitia kwa katibu wake Dr. Thomas kushughulikia Kashilila matibau ya Mhe. Hyness Kiwia mbunge wa Ilemela kufuatia kujrehuiwa na watu wanaosadikika kuwa ni wafuasi wa CCM march 31, 2012 eneo la Kirumba jijini Mwanza wakati wa kumpata diwani wa kata hiyo.

Ameyasema hayo leo 22.April, 2012 wakati akihutubia maelefu ya wakazi wa jiji la Mwanza katika viwanja vya Sahara. Amesema kama serikali na bunge hawatafanya hivyo atawaomba watanzania kumchagia ilim apate matibabu. Ameongeza kusema hiyo itakuwa imedhihirisha kwamba serikali ilihusika moja kwa moja katika tukio hilo.

Huku akishangiliwa na maelefu ya wana-Mwanza alisema taarifa za nani alihusika vipi zote wanazo wnaitaka serikali na bunge kutimiza wajibu wake kwakuwa kuna viongozi wamekuwa wakipelekwa matibabu nje ya nchi hata kwa kuumwa mafua tu.

Kumbe suala hapa si kutibiwa bali ni kupelekwa nje ya nchi.

 
Miaka miwili iliyopita ccm walikuwa wanachingulia kaburi lakini sasa wanazama na bado vichwa tu,........tutakomaa nao mpaka kieleweke
 
Kuna watu kweli kabisa hawamwogopi Mungu..

Hivi nyie watu mnaounga mkono uchafu ccm wanaofanya kweli una ubinadamu nyie...

Mtu amepigwa uko mahututi mnasema utumbo hapa....

Time will come you will swallow your words with shame....
 
@ Hansen Nasli inaoneka hujui hata unachosoma kinamaanisha nini!!!! Soma uelewe siyo unakurupuka tu kujibu pumbavu!!!!
 
Slaa mbona unapenda kukurupuka sasa unalipa bunge na serikali siku 3 nchi inaendeshwa na utawala wa sheria sio kwa amri. Kwani ripoti ya Daktari inasemaje huyo mbunge anatakiwa kutibwa nje ya nchi na serikali na bunge wamekataa kutoa pesa kama ugonjwa wake unaweza kutibiwa hapa tatizo ni nini.

WanaJF,
Nawashukuru walioelewa hoja. Mara nyingi nimeshauri ushabiki usio na tija hauna nafasi tena katika nchi hii. Wanaoendekeza ushabiki hawaelewi nchi ilivyoiva on the ground kwa mabadiliko makubwa. Hivyo mkipenda endeleeni na ushabiki wenu kwenye mitandao wanamageuzi na wananchi tunasonga mbele.
Mtu makini angeliuliza hoja ni nini, hotuba kamili ilikuwaje, msingi wa kauli au Tamko ni nini lakini watu wanaishia kupiga ramli kwa ushabiki. Yanayotokea leo Bungeni ni matokeo y ushabiki wa kipuuzi.
 
Kumbe suala hapa si kutibiwa bali ni kupelekwa nje ya nchi.


Punguza UDINI na UBAGUZI wewe muhindi, tukisema tukubague wewe si utakufa kwa msongo wa mawazo.

Rejesha PHD yako kichwani na sio Masaburini kilaza wewe!!
 
Heshima Mbele mkuu!!
Tunaomba upite Musoma en route to Dar, if possible!!
WanaJF,
Nawashukuru walioelewa hoja. Mara nyingi nimeshauri ushabiki usio na tija hauna nafasi tena katika nchi hii. Wanaoendekeza ushabiki hawaelewi nchi ilivyoiva on the ground kwa mabadiliko makubwa. Hivyo mkipenda endeleeni na ushabiki wenu kwenye mitandao wanamageuzi na wananchi tunasonga mbele.
Mtu makini angeliuliza hoja ni nini, hotuba kamili ilikuwaje, msingi wa kauli au Tamko ni nini lakini watu wanaishia kupiga ramli kwa ushabiki. Yanayotokea leo Bungeni ni matokeo y ushabiki wa kipuuzi.
 
Huna akili sawasawa wewe nenda milembe. Watu wamejeruhiwa vile unataka waendelee kukaa hapa bila matibabu sahihi. Mbona wezi na mafisadi hata hawaumwi waenda india. Nakushauri kama huna la kuchangia tulia tu.
 
Skaa alipe bunge siku tatu, yeye kama nani? hayupo serikalini wala bungeni. Mleta mada ni fataani usiyeelewa kuwa wabunge wanatibiwa bure kama watumishi wengine wote wa serikalini na kama ni matibabu ya nje, si bunge bali ni madaktari ndio wanaamuwa.

Sidhani kama Sla atakuwa msahaulifu kiasi hicho, wacheni fitina za kijinga.

Mijitu mingine hata chembe ya mawazo haina. We ni hasara kubwa kwa wazazi wako na kwa Taifa hili. Kichwa chako ni chini ya sifuri kabisa. Wewe unaonekana hayo mafisadi yakikuambia kula mavi utakula tu mradi ni serikali ya CCM. Ningekuwa MOD ningekufuta kabisa humu ndani maana huna faida yoyote kwa nchi hii. Mabaya yote yanayofanyika huoni. Hata kama ni kupigania madaraka, ndo kuwapiga watu mapanga? Kwani nchi hii imenunuliwa na ccm? Kaendelee na mataputapu yako huko ulikotoka.
 
Shida yake anataka watibiwe nje ya nchi au anataka nini?haya matibabu bunge cndo linalipa?huyo domokaya hatuwez kutawaliwa na fisad asiyeogopa hata hela ya kanisa

Kilichofanyika kwa hao wabunge angefanyiwa baba yako, ungelalamika. Nyamaza kama huna za kusema kama aliiba kanisani kanisa lipo tena linawasomi kuliko kitu chochote Tanzania, lingesema lenyewe. Tunachotaka sisi ni matibabu ya wabunge wetu, harafu nani alifanya unyama huo apate haki yake.
 
Hata mbwa huchagua cha kubwekea, wewe unabweka tu, hela ya kanisani, unaijua kwako unasali kuna hela hata ya kununua mafuta ya dezeli umeme ukikatika, si mnakimbizana tu kama wehu. Kweli unaboa yaani watu wanakatwa mapanga harafu unaleyta stori za kiwehu wehu, tunataka kuona wabunge wamepona tena wanaafya njema kuliko mwanzo. Sio stori za hadith za watume na manabii wa uongo
 
Back
Top Bottom