Dr Slaa alakiwa Kigoma kwa Shangwe

Dr Slaa alakiwa Kigoma kwa Shangwe

Status
Not open for further replies.
Waliowatuma kuichafua CHADEMA kwenye mitandao watakuwa na wakati mgumu sana! Tunasonga wao wanaleta propaganda!
Mia,kuna mimtu inakufa wako hoi baada ya kutofanikiwa kuisambaratisha chadema,wanakuja humu na post zao za njaa eti kigoma waandamana teh teh teh,kuna kijamaa humu kinaitwa Sixgate yaani kinautapiamlo,maisha yamemshinda kazi kutembeza kitumbo mbele kinalia na chadema...
Karibuni Kigoma Chadema..
 
Sawa lakini Picha hizo ni fake! Mmeabika sana chadema!
 
Mbinu zote mmeshindwa mmebaki na mbinu moja ya mwisho ya Serikali kujipinduwa yenyewe.

Nasubili kwa hamu hiyo drama.

Mbona unaenda nje ya mada mkuu? Mi nahoji kwanini mtuwekee picha ya miaka iliyopita? What is behind this?
 
Mbona unaenda nje ya mada mkuu? Mi nahoji kwanini mtuwekee picha ya miaka iliyopita? What is behind this?

Chadema kimekufa kaka hizi siasa za majitaka hizi hazitasaidia chama wala Dr Slaa!

Mnaanza na Mungu kumaliza na shetani!
 
hahahahahahhahahahahahahahahahahahahahhaahahahahahahahahahahahahahahahahahaahahhahahahaa:smile-big:
:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:
Chezea chama cha Makapuya..
 
Msafara wa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Wilbroad Slaa umeingia Kigoma tayari, ukianzia Wilaya ya Kakonko.

Hivi sasa ni mkutano wa kwanza Kijiji cha Muhange, Kata ya Muhange. Amepata mapokezi mazuri sana huku akina mama, watoto, vijana na wazee wako mkutanoni.

Mkutano wa pili utakuwa jioni Kakonko mjini.

Source:Afisa Habari CHADEMA Tumaini Makene

Picha chini Kiongozi huyo Maruufu Nchini Akiingia Kigoma na kulakiwa na umati wa watu....

Mbinu zote mmeshindwa mmebaki na mbinu moja ya mwisho ya Serikali kujipinduwa yenyewe.

Nasubili kwa hamu hiyo drama.
wakuu piteni link hizo hapo chini Molemo kama ulikuwa hakuna picha, usingetuletea ukiherehere wako hapa, ona sasa!!!

H@ki Ngowi: Dk Wilbrod Silaa aiteka Karatu...

KISIMA CHA FIKRA: Dk Slaa alipotua Karatu

cc Tumaini Makene Dr.W.Slaa Kurugenzi ya Habari Mungi Ben saa nane Yericko Nyerere
 
Mbinu zote mmeshindwa mmebaki na mbinu moja ya mwisho ya Serikali kujipinduwa yenyewe.

Nasubili kwa hamu hiyo drama.

Mkuu hapo ni kuvuta subira tu, Kwani kwa sasa naona mkakati wa kumpeleka A.R.Migiro mjengoni tayari. hatua itakayofuata ni kulifanyia baraza la mawaziri mabadiliko kisha kumteuwa A kuwa waziri wa Elimu na kumfanyia promo kubwa kisha 2015 tunapitisha kuwa ndani ya chama nafasi ya kugombea uraisi ni kwa jinsia ya kike tu.

Hapo ndipo tutaona El atakavyopandisha mori na kitakachofuata .............................................
 
CCM mnalilia kama watoto wa kike waliovumnjwa bikira...siyo zenyewe siyo zenyewe tuwekeeni zaukweli tuzione wajinga nyie....Leo Molemo hakuna kuweka picha ziache hizi hizi tuwaone mtafanya nini maana CCM mmezoea siasa za kijinga.
 
Chadema siku zote wanafanya Shughuli zao Kuwa Makini Zaidi, Kwanini ccm wanataka kujua kama amepokelewa vizuri.
 
CCM mnalilia kama watoto wa kike waliovumnjwa bikira...siyo zenyewe siyo zenyewe tuwekeeni zaukweli tuzione wajinga nyie....Leo Molemo hakuna kuweka picha ziache hizi hizi tuwaone mtafanya nini maana CCM mmezoea siasa za kijinga.
Acheni lakini watu wote wakisoma watajua kuwa chadema ni chama cha kilaghai sana! Uongo ndio kazi yenu! Za mwizi arobaini, Leo mmeumbuka sana!

Siasa za kijinga sana hizi!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom