Dr. Slaa akimbia Mdahalo wa Kesho

Dr. Slaa akimbia Mdahalo wa Kesho

Katoa sababu za msingi, sasa kakimbia nn? Mtoa MADA sijui umekula nn wew? Umekula maharage ya WAP ww
 
Amefanya jambo la maana sana kwani huu mdahalo haukuwa na nia nzuri .Zitto siyo size ya Dr.Slaa
Wewe mbugila ndiyo ulikuwa unasema ccm kuwa wameogopa mdahalo mbona leo unaongea ubwabwa tena.
 
CCM wameshafika zaidi ya 30, tuone kama CHADEMA baada ya Slaa atajitokeza mtu mwingine, akijitokeza unikate kidole.

Wewe jamaa ni mtu mzoefu sana humu JF ila umechemsha kutokujua kwann CCM ina wagombea wengi wa urais uchaguz huu.Kwahiyo wewe unadhani wote wanataka urais na wanauweza?Sasa hiyo michezo haipo kwa kila chama,huyo slaa 2010 walifanya kumuomba aache ubunge agombee urais,wht do u think wengine wanavyoufikiria urais?Kiongozi asipotosha kwenye kiti nchi inapoteza muelekeo mkuu.
 
Slaa hajui uchumi ni nini lazima atoke nduki teh teh teh teh teh

Soma vyema majibu ya Dr Slaa vizuri uelewe sio kujaa mihemuko tuu humu. Hata post za wengine zingekufanya uelewe lakini inaonyesha huwezi kuelewa kitu zaidi ya mihemko.
Alichokifanya Dr Slaa watu wote wenye akili wamegundua kuwa ni mtu makini sana kwa kila afanyalo tofauti na yule ambaye tayari kila siku anajitangaza kwenye kurasa zake FB na Twitter kuhusu mdahalo huo ili atoke kwa mgongo wa Slaa.
Hata huyo muandaaji si angeita akina Zitto na viongozi wenzake wa vyama visivyo na madiwani wala wabunge maana hao ndio saizi yake
 
CCM wameshafika zaidi ya 30, tuone kama CHADEMA baada ya Slaa atajitokeza mtu mwingine, akijitokeza unikate kidole.
Kwani mantiki ya kujitokeza hasa ni nini? kwa sababu chama ndicho huteu mgombea na si wananchi. Kwa hivo mtu anaweza kwenda kimyakimya akachukua fomu kwa chama chake halafu akawaomba watu wa chama chake wamteue kwa kujinadi kwao. Akishateuliwa atapewa ilani ya chama chake na kwenda kwa wanachi kujinadi kupitia ilani hiyo.

Cha ajabu ni hawa watia nia kutoka na mbwembwe kuja kujinadi mitaani na kutumia mahela kibao! kwani hao wa mitaani ndio watakaowateua? au ni kuvichanganya vyombo vya uteuzi ndani ya vyaama vyao?
 
Inashangaza sana....mimi huwa sishangai CCM kukimbia midahalo hiyo ni kawaida yao....sasa wapinzani nao wakianza kuwaiga CCM sijui tuwaiteje sasa......Juzi ule mdahalo wa wana CCM walivyoukacha tuliwashambulia kwa maneno makali huku tukipinga sababu walizotoa. Leo hii kwa sababu za ushabiki tunakubali sababu za Dr Slaa kwa urahisi tu....

Kumbuka ule ulikuwa mdaharo wa watia nia wa ccm, cdm bado hawaanza utaratibu wa kuwania urais na wala Dr slaa hajatangaza kugombea.Kama walitaka mdaharo Wa wagombea urais basi wasubiri muda ufike
 
Wewe mbugila ndiyo ulikuwa unasema ccm kuwa wameogopa mdahalo mbona leo unaongea ubwabwa tena.

Ni nini mantiki ya huo mdaharo? kama ni wa wagombea urais mbona siwaoni hapo zaidi ya lipumba aliyetangaza nia? Haraka ya nini? subirini chama kimteue mgombea wake halafu ndipo mdaharo Wa wagombea urais ufanyike.Ila nina wasiwasi kama mgombea Wa magamba atahudhuria!
 
Dr. Slaa hapa umetumia busara ya hari ya juu sana!! Umakini huu umekupa alama za juu ktk uongozi!!

Bigup Dr!!
 
Babu slaa lazima akimbie mziki wa mzalendo Zitto na profeessor lipumba,slaa anafiti zaidi kwenye midahalo ya upadri
 
Siyo wagombea urais ndiyo wanaokwenda kwenye mdahalo, bali viongozi wa upinzani kujadili mchakato wa urais, inawezekana wewe hujui kinachoendelea kuhusiana na huo mdhalo huo

Muaandaaji hajasema kama wewe tata unavyotaka kutuaminisha. Safi sana CDM kwa kauli iliyojaa umakini.
 
Back
Top Bottom