Dr. Slaa akimbia Mdahalo wa Kesho

Dr. Slaa akimbia Mdahalo wa Kesho

MODs FUTENI KABISA AU UNGANISHENI HUU UZI KWANI KUNA MWINGINE WA NAMNA HII UNAENDELEA VEMA, HUYU JOHN WA MARWA SIJUI KALAMBISHWA MAVI YA NANI UYU AMEKURUPUKA BALAA KULETA INFORMATION AMBAYO TAYARI INAEDELEA VEMA KUCHANGIWA UPANDE MWINGINE...

Labda ya tembo
 
CCM wanachekesha wanataka kuficha ufisadi wao wizi na ujambazi chini ya kapeti la watangaza nia they turned to be joke of the town aibu

Namshangaa sana mtu anaye kuja na ngonjera za kuwasafisha hawa mafisadi.
 
Vyama vya Siasa vinakimbia midahalo.
Inashangaza sana....mimi huwa sishangai CCM kukimbia midahalo hiyo ni kawaida yao....sasa wapinzani nao wakianza kuwaiga CCM sijui tuwaiteje sasa......Juzi ule mdahalo wa wana CCM walivyoukacha tuliwashambulia kwa maneno makali huku tukipinga sababu walizotoa. Leo hii kwa sababu za ushabiki tunakubali sababu za Dr Slaa kwa urahisi tu....
 
Mi ninachokiona hapa huyu Mafuruki hazielewi vizuri au hata hazifatilii siaza za Tanzania zinavyokwenda.Huo mdahalo ni kichekesho.

Mkuu pamoja na utajiri wake bado anatafuta kuongezea umaarufu,sasa kagonga mwamba kwa dr slaa,yeye haitwi kwa miruzi na bahasha za khaki.
 
Kisha wajibu bora uwe msaliti wa chama kuliko kuwa msaliti wa taifa(RUZUKU NA UCHAGA...NO DEMOCRACY YOU CLAIM)

Nenda kapate chakula kwanza ndio utie timu hapa jamvini
 
Amefanya jambo la maana sana kwani huu mdahalo haukuwa na nia nzuri .Zitto siyo size ya Dr.Slaa
Kweli! Zitto ni level nyengine bhana, huu udoctor wa Bible wa Slaa ataongea nini.
 
Kwanza Zitto anaenda kama nani ??ni mgombea urais'?? Alafu pili hata hao waandaaji hao ni WANa ccm wanaenda tu kuwakejeli ukawa bure,ccm ingekuwepo ccm hapo sawa kama hawapo haina mantiki!!

Nikweli mkuu
 
Mdahalo utakaorushwa kesho kuanzia saa 1 hadi saa 4 na Azam Tv unaoandaliwa na CEOrt chini ya kiongozi wao Ally Mufuruki, Dr Slaa amesema wao hawatashiriki Mijadala mpaka watakapomaliza kura za MAONI ndani ya chama.

Washiriki ni prof Lipumba CUF, Zitto Kabwe ACT, Dr. Slaa CHADEMA na Dr. Emanuel Makaidi NLD.


Wana JF mimi ninaona kuna tatizo la mawasiliano kati ya huyo bwana CEO+ (Mufuruki) na wateja wake. Inakuwaje anatoa habari ambazo hana uhakika wa mauzurio ya walengwa? Haraka ni ya nini? Kwa nini anaharibu malengo ya huo mdahalo pamoja na umuhimu wake? Sasa watu wanaona ni kama mchezo wa kind ....!! Inasikitisha kwa CEO+ kuwa na mipango mibaya kama tunavyo ona sasa!
 
Teh Teh ....Dr Slaa mbio ...ninge shangaa angeweza kukaa na kuweza kujenga hoja mbele ya Zitto!

Hivi kweli Slaa si presidential aspirant...ina maana Slaa hatamani,hana ndoto na Urais? Bavicha wamemtisha..

Mkuu hufanani na kujadili mambo ya siasa maana unaonekana kuyabeba ya 2010 na kuleta 2015 subiri watu waweke mambo hadharani. Nani kakwambia Dr. Slaa ni presidential aspirant? wapi katangaza hilo? Kutamani mtu yeyote anaweza kutamani lakini kama hajaweka hadharani hiyo nia huyo bado atabaki na tamaa tu.
 
Kumbe zitto kabwe anagombea uraisi!?? Mi nilidhani anagombea ubunge kigoma mjini? Au mafuruki na zitto walitumwa wajue sera zitakazo wekwa kwenye ilani ili ccm waibe? Zitto mpaka lini utaendelea kutumika kama mjinga kupelekwa kuwa kafara wa kisiasa kila mahali!!?

Hasa hiyo ndio ilikuwa nia yao kupitia kwa huyo mtumwa wao zzk
 
Hawa Ceort nao vipi! Wanaharakia nini? Wanaleta misuguano isiyo ya lazima tu.

Kwani Zitto anagombea urais kwa katiba ipi? Na halafu, kama lengo ni kuita 'wakuu' wa vyama, kwa CDM si wangemuita Mbowe?
 
Wanajijua kuwa ni watupu kichwani,wamezoea hoja nyepesi,kila siku list of shame,mara ufisadi lakini hata siku moja hawasemi ni jinsi gani wataujenga uchumi wa nchi wenye kuakisi maisha halisi ya mtanzania.Hawa ndiyo wanataka tuwakabidhi nchi ilihali wanakimbia kutufafanulia mikakati yao,ushiriki wa mijadala ni dhahiri kuwa husaidia kuwajua wanaogombea nafasi mbalimbali za uongozi katika nchi.

POOR CHADEMA
POOR SLAA

Wewe ndiyo utabaki wa kushikwa mkono kila siku maana hata unachokiandika hukijui.
 
Kama kibabu hajatangazs kuwania urais..kwa nn kwnye mikutano yenu mnamuita rais??
Hivi huyu babu hajawahi kuwa na wazo la kulea wajukuu au ndo anawatafuta kwa Msmbzi??
 
Kibabu kwishnee! kila mdahalo hana hoja mpya zaidi ya kurudia single zake chakavu za ufisadi ufisadi ufisadi! haelezi mipango ya kuleta maendeleo sasa mtu kama huyu anaweza kumvaa Zitto kweli!!

Zito ndio keshafukuzwa cdm,kajitie kitanzi.mipango yenu yoote imebuuma
 
Tulishajua kuwa BABU hana uwezo wa kukaa kwenye mdahalo na wasomi.
 
Bora nguruwe, wazungu wamegundua ana akili sana na wanawatumia kugundua mabomu. Je ling'ombe linaakili gani! likubwaaa lakini linachinjwa na binaadam kirahiisi, we jaribu kumchinja nguruwe uone mtiti wake!

Ndio upeo wa kufikiria kwako.
 
Back
Top Bottom