KASHOROBANA
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 3,241
- 964
kwa jinsi Chadema ilivyojipanga ccm haina pa kuchomokea.
ccm inatia huruma
Baada ya kuona huo umati nimeamua kuja bar na kuagiza kinana (tusker) mbili za baridiii ili kusherekea ukombozi
Nimekubali hawa watani zetu wanaenda kwa kasi ambayo si ya kubeza hata kidogo,nami kwa mbaaali uzalendo unaanza kunishinda ,sijui nisiwe naingia jamii forum, wandugu kazi ipo 2015 !!?? mdharau mwiba mguu utaota tende.
shukrani, ni kwa bidii yenu tumehudhuria pia na sisi humu jukwaaniWakuu kutoka hapa viwanja vya shule ya msingi mwaka Tunduma mkutano ndio umefungwa kinachoendelea ni wananchi kujitolea kwa ujenzi wa chadema.!!!!
Utaipenda tu, CDM Bana!
Nimekubali hawa watani zetu wanaenda kwa kasi ambayo si ya kubeza hata kidogo,nami kwa mbaaali uzalendo unaanza kunishinda ,sijui nisiwe naingia jamii forum, wandugu kazi ipo 2015 !!?? mdharau mwiba mguu utaota tende.
Slaa baada ya kushindwa kumuuwa zito na mama yake zito sasa wanapanga mipango mipya ya kumaliza zito.Jaman ivi katibu wetu mkuu mzee wa meno ya tembo aka dentist pia katibu wetu mwenezi yule kidomo domo waKo wapi?? au zomea zomea ya morogoro na ushind wa chadema uko kilosa vimewanyong'onyeza??
jamani naomba muamini kifo cha ccm ni mpango wa Mungu wala msisikitike sana. ah ah hii ni raha pia utamu.....