Dr Slaa afunga barabara Mwanza

bora umemwita mungu mkuu maana hukawii kusikia kitu cha ncha kali kimeruka toka kusikojulikana!! Uongo mwingine bwana!! Hivi kova yupo au yu safarini?

mkuu huyu muuza sura kovu yupo jana haujamuona kwenye kuapisha wale maamirijeshi nilimuona kavuta mdomo utafikiri andazi lenye amira lidomo hilo nilicheka mpaka basi nikawa nakumbuka ile filamu yake feki y ulimboka
 
hebu wahoji hao wananchi kwanini walimzomea pinda?halafu leo wanamkimbilia dakta slaa
 
Hivi ni kweli?

I hope dr. Slaa is a good leader.

But some of his counter parts may not be specific.
 
mkuu huyu muuza sura kovu yupo jana haujamuona kwenye kuapisha wale maamirijeshi nilimuona kavuta mdomo utafikiri andazi lenye amira lidomo hilo nilicheka mpaka basi nikawa nakumbuka ile filamu yake feki y ulimboka

Na macho yalikuwa yanatizama wapi maana akiangalia kulia kumbe focus ni kushoto!! Nasikia alinyofolewa jicho na shemejiye!!! ha ha ha ha wakaweka la mbuzi. Ukorofi kauanza zamani na uongo kila kona hadi shemeji akakasirika!!! Mateso kwa dada na uongo vilizidi!!!
 
Katika jambo lisilotarajiwa na wengi, Dr Slaa amepita katikati ya maduka hapa jijijini Mwanza huku akiamsha taharuki kwa mamia ya watu wakitaka kumwona. Dr Slaa akiwa ameambatana na mbunge wa Nyamagana mh Wenje alipata wakati mgumu baada ya kila mtu kutaka kumsalimia. Nimeshuhudia magari yakipiga honi na abiria walikuwa wanashuka kwenye daladala wakikimbilia eneo aliopo. Kesho kuna uchaguzi wa meya wa jiji la Mwanza, yawezekana ujio wa Dr ni mahususi kwa shughuli hiyo.

Be like crushwiser picture speeks louder than words
Ubarikiwe
 
CDM wekeni mambo shwari Mwanza ni mji mkubwa wa pili ni faida kwenu mkitulia na mambo yakawa shwar God bles CDM
 
kusema kweli hiki chama hakiwezi shika dola kila kukicha mgogoro

Makupa, it is not about migogoro, it is how you are dealing with migogoro that's what really matters. Ukisema siku 90, basi kweli siku 90 sikifika ufanye exactly what you said you would do.
 
Back
Top Bottom