Dr Slaa afunga barabara Mwanza

Dr Slaa afunga barabara Mwanza

Swali zuri sana hilo mkuu?,alijibu sasa!!!!!
Kweli mkuu, wajibu sasa. Raisi tunayemjua sisi ni yule wa Tume ya uchaguzi. Twiga wanapanda ndege ya waarabu yeye anaenda kuomba vyandarua kwa Obama!
 
sasa hapa tujadili nini?

JF sio kila kitu kijadili tu mengine ni taarifa au breaking news una appreciate inatosha maana wewe kwa kukariri hujambo, utavua lini gamba wewe??
 
Katika jambo lisilotarajiwa na wengi, Dr Slaa amepita katikati ya maduka hapa jijijini Mwanza huku akiamsha taharuki kwa mamia ya watu wakitaka kumwona.

Dr Slaa akiwa ameambatana na mbunge wa Nyamagana mh Wenje alipata wakati mgumu baada ya kila mtu kutaka kumsalimia.

Nimeshuhudia magari yakipiga honi na abiria walikuwa wanashuka kwenye daladala wakikimbilia eneo alilopo.

Kesho kuna uchaguzi wa meya wa jiji la Mwanza, yawezekana ujio wa Dr ni mahususi kwa shughuli hiyo.
Duhh sijui atagombea tena? amgaragaze eL
 
ataendelea kufunga barabara na kujaza watu kwenye mikutano ya hadhara na bado mgombea wa CCM ameshinda umeya wa jiji.

wanaojaza mikutano ikumbukwe sio wapiga kura
 
Back
Top Bottom