Dr Slaa afunga barabara Mwanza

Ninaamini mzee huyu kupitia hekima aliyonayo atafaulu kuwashuha vijana na muhemko wa kisiasa walio nao. I trust you DR!!!

hekima ya kuiba mke wa mtu. Hekima ya kulazimisha wananchi kukesha uwanjani,. Hekima ya kufanya maandamano yaliyopingwa na mamlaka halali.
 
sasa hapa tujadili nini?

Jadili hiii
ImageUploadedByJamiiForums1348767537.375994.jpg
 
Hizi heading zingine bhana...me npo Mza hakuna barabara iliyofungwa hapa by that time...anyway karibu Dr...
 
Kwani umeambiwa na mods kila kitu ni cha kujadili humu mkuu. Hiyo ni taarifa tu. Si unaona wengine wanavyoshukuru kwa taarifa?

Mkuu shangaa na wewe! Akili zetu hizi za kukariri ni kazi. Jamaa sijui kaambiwa na nani kuwa kila kinachotua humu ni cha kujadili? DHAIFU Kama baba yao Mk.were, LIWALO NA LIWE!
 
hekima ya kuiba mke wa mtu. Hekima ya kulazimisha wananchi kukesha uwanjani,. Hekima ya kufanya maandamano yaliyopingwa na mamlaka halali.

Naona afadhali huyu "kaiba" MKE wa mtu na ataka kuoa. Kwenu Mwigulu (a.k.a Mkumbo) anaheshimika na ana hekima kwa kunajisi "WAKE" wa makada wenzie!! Ha ha ha!!
 
Hujaona cha kujadili mkuu?? Ngoja wenye cha kujadili waje thread itajaa kama kifusi. Kwa sada hivi wako hawa tu kwa dakika hizi chache thread imetua hapa. There are currently 15 users browsing this thread. (9 members and 6 guests).
and iam the next one aliyestahili kuwa raisi amewasili mkoani mwanza viva willbrord.
 
Back
Top Bottom