Umeya baadaye, CHADEMA lazima kwanza washughulike kutatu migogoro ya mara kwa mara Mwanza. Umeya chini ya serikali ya magamba ni fitna, mfano mzuri Moshi. Halmashauri hairuhusiwi hata kufanya mipango mipya kila kitu ni ilani ya magambaz. Majuzi RC wa K'njaro akaja na "kashfa" eti madiwani walitaka kwenda kufanya ziara Rwanda kwa 200m! Hiana tupu.
Tafadhali Dr. Slaa tumia hekima busara zako ambazo MUNGU amekupa kutekeleza kanuni za Chama kwa haki, uwazi na ukweli.
In 2015 we need a united Mwanza badly!