Dr. Slaa afanya safari ya Marekani kimya kimya!.

Si kila safari iwe na taarifa maalum kwa vile pengine ni safari za mapumziko huko waendako.
 
Kama ana akili hatarudia tena kuleta uzi za kizushi. Tuliojua hata maandalizi ya mapokezi yake tulishafanya mapemaaaa na ma-prof rafiki wa huko.
 
Kwa habari nilizozipata zinaeleza kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dr. Slaa anasafiri kuja Marekani lakini kutokana na mambo fulani hajaweza kuweka taarifa kwenye public domain na hata ofisi yake haijaweza kutoa taarifa ya kiofisi kwenye ofisi ya Naibu Katibu Mkuu ili kukaimu kazi ya Katibu Mkuu kama itifaki ya chama inavyobainisha.

Safari yake imeingiliana na safari za baadhi ya viongozi wa CCM na serikali yake ambao pia wapo hapa Marekani kikazi.

Tutaendelea kuwapa taarifa zaidi kadri zinavyotufikia iwapo kitengo cha habari cha CHADEMA kitakuwa kimya.
Huyu Kaisha, na ka NGO kake. Kwanini atangaze safari hiyo kwani ni sawa na mjomba wako akisafiri kwenya ughaibuni. Akipenda aweke kwenye Faceb yake ili wale wote wa karibu naye wakitembelea huko kwa bahati mbaya wazione taarifa hizo, kama ambavyo wewe unaweza kuweka taarifa zako ktk Face book. Namtakia safari njema.
 
Dr. Slaa naomba majibu kuhusu suala la watoto wa mitaani. CDM itasaidiaje kupunguza tatizo hili ikizingatiwa wewe pia umetelekeza mke na watoto kwa mwanamke mwingine?
 
Dr. Slaa kazeeka sana.

attachment.php
 
Hao waliokuja kufanya private shopping kwa pesa za walipa kodi ndio unaoana wa maana, ''kweli mwenye njaa hamjui aliyeshiba''.
 
mmeshambulia mno tofauti na ethics za watanzania kutomuua mjumbe. Wengi tulikua hatujui. Mwisho wa siku lugha ambayo huwezi kuitumia mbele ya baba yako na mama yako usiitumie kwenye mitandao ya kijamii.
 
Huyu Kaisha, na ka NGO kake. Kwanini atangaze safari hiyo kwani ni sawa na mjomba wako akisafiri kwenya ughaibuni. Akipenda aweke kwenye Faceb yake ili wale wote wa karibu naye wakitembelea huko kwa bahati mbaya wazione taarifa hizo, kama ambavyo wewe unaweza kuweka taarifa zako ktk Face book. Namtakia safari njema.
Ha ha ha kichwa kinakuzibua ndivyo ilivyo ukiwa na hasira za siku basi kuna wengine kama wewe huropoka NGO wakati Jakaya analia machozi akisikia jina la chama chake kajihifadhi kama umejichafua manake hujielewi unaandika nini
 
mmeshambulia mno tofauti na ethics za watanzania kutomuua mjumbe. Wengi tulikua hatujui. Mwisho wa siku lugha ambayo huwezi kuitumia mbele ya baba yako na mama yako usiitumie kwenye mitandao ya kijamii.
 
Hao waliokuja kufanya private shopping kwa pesa za walipa kodi ndio unaoana wa maana, ''kweli mwenye njaa hamjui aliyeshiba''.

Mnona ilishasemwa hapa na hata Daktari alitajwa jamani huyo Mzee anayekaa magogoni lazima akabadilishe damu kila mwaka watu walimtolea data zote hapa JF tunajua kinachompeleka huko na ndio maana lazima auze mapande ya ardhi kwa wamerekani anajua akiwanyima watamnyima viza na yeye ndio mwisho wa maisha yake
 
Dr. Slaa naomba majibu kuhusu suala la watoto wa mitaani. CDM itasaidiaje kupunguza tatizo hili ikizingatiwa wewe pia umetelekeza mke na watoto kwa mwanamke mwingine?

Anza kumuuliza mwenyekiti wa maccm, kuna dogo hapa kwa mfuga mbwa kamtosa na alivyo na damu kali hakajifichi..
 
mmeshambulia mno tofauti na ethics za watanzania kutomuua mjumbe. Wengi tulikua hatujui. Mwisho wa siku lugha ambayo huwezi kuitumia mbele ya baba yako na mama yako usiitumie kwenye mitandao ya kijamii.

Mwenzao Nape anaogopa hata kutoka nje kwa sasa..
 
Anza kumuuliza mwenyekiti wa maccm, kuna dogo hapa kwa mfuga mbwa kamtosa na alivyo na damu kali hakajifichi..
Thank you kwa habari hiyo, lakini CCM wameshazoea, mfano mzuri ni Nape katokana na mfumo huo. Je CDM wanaungana na CCM kuendeleza utamaduni huu?
 
Back
Top Bottom