Deshmo
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 4,820
- 4,264
Dr. Slaa kazeeka sana.
Awaage nyie waakee zake?
Dr. Slaa kazeeka sana.
Atakuwa ameenda kuwaonyesha wazungu picha za mnara wa marehemu Daudi Mwangosi (R.I.P.). Poor Dr. Slaa.
Kwa habari nilizozipata zinaeleza kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dr. Slaa anasafiri kuja Marekani lakini kutokana na mambo fulani hajaweza kuweka taarifa kwenye public domain na hata ofisi yake haijaweza kutoa taarifa ya kiofisi kwenye ofisi ya Naibu Katibu Mkuu ili kukaimu kazi ya Katibu Mkuu kama itifaki ya chama inavyobainisha.
Safari yake imeingiliana na safari za baadhi ya viongozi wa CCM na serikali yake ambao pia wapo hapa Marekani kikazi.
Tutaendelea kuwapa taarifa zaidi kadri zinavyotufikia iwapo kitengo cha habari cha CHADEMA kitakuwa kimya.