MwanaDiwani
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 5,536
- 2,268
Kwa habari nilizozipata zinaeleza kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dr. Slaa anasafiri kuja Marekani lakini kutokana na mambo fulani hajaweza kuweka taarifa kwenye public domain na hata ofisi yake haijaweza kutoa taarifa ya kiofisi kwenye ofisi ya Naibu Katibu Mkuu ili kukaimu kazi ya Katibu Mkuu kama itifaki ya chama inavyobainisha.
Safari yake imeingiliana na safari za baadhi ya viongozi wa CCM na serikali yake ambao pia wapo hapa Marekani kikazi.
Tutaendelea kuwapa taarifa zaidi kadri zinavyotufikia iwapo kitengo cha habari cha CHADEMA kitakuwa kimya.