Bolshevick
JF-Expert Member
- Sep 2, 2013
- 355
- 247
We unaeponda safari za dokta slaa huna akili. Ubongo wako umejaa kamasi. Viva Dr. Slaa
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums

Kwa habari nilizozipata zinaeleza kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dr. Slaa anasafiri kuja Marekani lakini kutokana na mambo fulani hajaweza kuweka taarifa kwenye public domain na hata ofisi yake haijaweza kutoa taarifa ya kiofisi kwenye ofisi ya Naibu Katibu Mkuu ili kukaimu kazi ya Katibu Mkuu kama itifaki ya chama inavyobainisha.
Safari yake imeingiliana na safari za baadhi ya viongozi wa CCM na serikali yake ambao pia wapo hapa Marekani kikazi.
Tutaendelea kuwapa taarifa zaidi kadri zinavyotufikia iwapo kitengo cha habari cha CHADEMA kitakuwa kimya.

Dr. Slaa kazeeka sana.
Hili siyo jukwaa la crybaby.Paw, uzi wa kizushi utendeeni haki.
Hili siyo jukwaa la crybaby.
Kama unafikili unaifahamu vizuri kazi ya u-MOD's, jaza online form and Apply within.
Huwezi kuwafundisha MOD's kazi yao hata kama umeshindwa kujibu hoja iliyo mezani. Kazi za MOD's siyo kukusaidia katika hoja ambazo huwezi kutoa majibu mbadala bali ku-facilitate wana Jf katika hoja na habari.
Kingunge bado rijali!Dr. Slaa kazeeka sana.
Dr. Slaa kazeeka sana.
MwanaDiwani, habari ya huko Marekani. Mmpokee Dr huenda anakuja huko kupumzika kidogo. Otherwise, wewe pia endelea na ziara yako huko kama ulivyoaga, mwambie asisahau kufika hapa London manake tunamsubiri vilevile na aje kimya kimya vivyo hivyo.
Dr. Slaa kazeeka sana.
Kwa habari nilizozipata zinaeleza kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dr. Slaa anasafiri kuja Marekani lakini kutokana na mambo fulani hajaweza kuweka taarifa kwenye public domain na hata ofisi yake haijaweza kutoa taarifa ya kiofisi kwenye ofisi ya Naibu Katibu Mkuu ili kukaimu kazi ya Katibu Mkuu kama itifaki ya chama inavyobainisha.
Safari yake imeingiliana na safari za baadhi ya viongozi wa CCM na serikali yake ambao pia wapo hapa Marekani kikazi.
Tutaendelea kuwapa taarifa zaidi kadri zinavyotufikia iwapo kitengo cha habari cha CHADEMA kitakuwa kimya.
ofisi yake haijaweza kutoa taarifa ya kiofisi kwenye ofisi ya Naibu Katibu Mkuu ili kukaimu kazi ya Katibu Mkuu kama itifaki ya chama inavyobainisha.
Atakuwa ameenda kuwaonyesha wazungu picha za mnara wa marehemu Daudi Mwangosi (R.I.P.). Poor Dr. Slaa.