Dr. Slaa afanya safari ya Marekani kimya kimya!.

Dr. Slaa afanya safari ya Marekani kimya kimya!.

mleta mada lazima uzeeni uwe mchawi,kwa jinsi ulivyoumbuka hutarudia kuandika hbr za uongo maishani.
gamba weee
 
attachment.php
 
Huyu mzee atachoka kabla hata hiyo 2015 haijafika

Huko marekani anahangaika tu
 
Mbona taarifa zipo humu mda kitambo tu? Ulitaka awepo jangwani ili mmalizane naye? Maana mbowe mshamkosa kosa zaidi ya mara 3?

Mwampamba unamatatizo sana
 
yani ulitaka watu wajue na wewe huko USA?
tumejua janja yako.
 
Atakuwa ameenda kuwaonyesha wazungu picha za mnara wa marehemu Daudi Mwangosi (R.I.P.). Poor Dr. Slaa.

mwigulu kapeleka ushahidi wake mbinguni wa lwakatare........
 
wewe ukiwa unaenda safari zako binafsi huwa unaaga au mkuu wa kaya alivyoenda kumuokoa dogo China alivyodakwa na sembe aliaga??Siyo kila hoja ni ya kuleta hapa.
ehee kumbe mpaka wee unaijua hii mi nilijuaa pekee yangu
 
Mbona taarifa zipo humu mda kitambo tu? Ulitaka awepo jangwani ili mmalizane naye? Maana mbowe mshamkosa kosa zaidi ya mara 3?

Mwampamba unamatatizo sana

huyu alitaka watu wajue yuko marekani wakati yuko rufiji.
 
Itifaki ya chadema yakuuma nini..kikwete kamkaimisha nani ccm?
 
kazi za denmark na italy zipo wazi marekani kaenda kufanya nini sasa siyo mahala pake manaake mapadri kwa italy na ujerumani.
 
Basi yanamtosha harudii tena alikua anatafuta ela ya mboga uyo
 
Taarifa ya chadema makao makuu iko wapi? Chadema diaspora ni mnyama gani?

mwigulu alienda USA ratiba yake haikuwekwa wazi na ilijaa usiri mkubwa,alipokelewa na watu sita.
habari ya mujini ni jangwani leo
 
Back
Top Bottom