Nduka
JF-Expert Member
- Dec 3, 2008
- 8,552
- 2,360
Pole mkuu ingawa ni ngumu kumeza
Yaan ukweli huu ni mgumu sana kuumeza, katibu mkuu anasafiri nje ya nchi kukutana na watu?
Pole mkuu ingawa ni ngumu kumeza
Kuna thread moja ilihoji ni kwa nini haalikwi ughaibuni. Hapo je? Kila jambo kwa wakati.Inapendeza, hawa maccm wataruka ruka mwisho wao umewadia, mkuu anachapa kazi kwenda mbele , ni kushambulia pande zote mpka kieleweke
Yaan ukweli huu ni mgumu sana kuumeza, katibu mkuu anasafiri nje ya nchi kukutana na watu?
Kashaanza safari asije kuwa vasco dagama wa pili
7 x 2 = 5Kashaanza safari asije kuwa vasco dagama wa pili
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Wilbroad Slaa, Juni 5, mwaka huu, ameanza ziara ya takriban wiki 3 barani Ulaya katika nchi ya Ujerumani.
Kwa mujibu wa habari kwenye Ukurasa wa Facebook ya CHADEMA na kuthibitishwa na Ofisa Habari wa CHADEMA, Tumaini Makene, Dkt. Slaa ambaye aliondoka nchini Juni 4, mwaka huu ktk ziara hiyo ya kikazi, atakutana na watu mbalimbali, wakiwemo viongozi mbalimbali wa serikali na vyama vya siasa.
Namnukuu-''Ni kweli mkubwa, Katibu Mkuu yuko nje ya nchi tangu juzi kwa ziara ya kikazi nchini Ujerumani, itakayochukua wiki tatu...atakuwa na ratiba tight kidogo, akiwa huko kama unavyojua Dkt. Slaa yuko kazini karibu muda wote, kwa sababu kwa sasa hakuna muda wa kupoteza hata sekunde, si unajua M4C iko matendoni mkubwa, ndani na nje ya nchi, ameenda kikazi,'' amesema Makene.
Pole sana naamini buku saba umepata ya kula mchana huu.
Kwa uchungu leo sichukui buku saba, yaani Slaa anaenda nje ya nchi kukutana na WATU , naogopa sana naona enzi za CCM sasa zimefikia ukingoni. Yaana anakutana kabisa na watu?
Unahangaika sana mkuu, mbona ni neno la kawaida kukutana na watu kweni we ulitaka akutane na nani?
Wewe ulitaka asafiri ili akutane na vitu gani?Yaan ukweli huu ni mgumu sana kuumeza, katibu mkuu anasafiri nje ya nchi kukutana na watu?
Wewe ulitaka asafiri ili akutane na vitu gani?
kumbe magamba mmekubali wazi kuwa Kikwete ni vasco dagama??
cc: Ritz , chama , Mzee Wa Sumu , bungeni , Nduka , Sumu , MwanaDiwani ......| | Molemo Michael p aweda Tumaini Makene
huyu jamaa kakiri kikwete ni vasco dagama,yaani mwenyekiti wao wa chama
Inapendeza, hawa maccm wataruka ruka mwisho wao umewadia, mkuu anachapa kazi kwenda mbele , ni kushambulia pande zote mpka kieleweke
wewe Mzenji hebu achana na mambo ya huku Tanganyika, Pia uwe na adabu hasa pale unapochangia kwny thread inayomhusu Mkombozi na Rais wetu.
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums