Natamani sana CUF ichukuwe zanzibar ili kum'disaprove Mkapa kwenye kauli zake za Jana!1) Kituo Cha Bwawani
Maalaim seif Shariff CUF 593
Dr Shein CCM 141
1) Kituo Cha Bwawani
Maalaim seif Shariff CUF 593
Dr Shein CCM 141
Bwawani najua ni Unguja
Huu Uraisi unamnukia Hamad......JK kumchagua Dr. Shein alikosea mahesabu....angelimwacha...........Bw. Nuklia aendelee huko kwa sababu ana ngome kubwa Unguja....wazo la waunguja watamchagua mtu yeyote ili mradi wa CCM lipo mashakani sasa....................