Elections 2010 Dr. Shein na Maalimu Seif wanachuana Z'bar

Status
Not open for further replies.

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
1) Kituo Cha Bwawani-Unguja

Maalaim seif CUF 593
Dr Shein CCM 141

Jimbo la Chake Chake-Pemba
Kituo cha Michakaini
Maalim Seif CUF 956
Dr. Shein CCM 246.
Kituo cha Ngwachani
Maalim CUF 623,
Shein CCM 132.

Wadi ya vikokotoni
Maalim Seif CUF 204
Dr Shein CCM 96

Ziwani -Pemba
*
Maalim Seif CUF 1080
Dr Shein CCM 60

Malindi - Unguja
Maalim Seif CUF 104
Dr Shein CCM 28

==================
OFFICIAL RESULTS:

To follow here
 
Mmmh hapa inaonekana sasa Zenji itakuwa CUF na Bara itakuwa CHADEMA. Mbadiliko ya kweli. Itabidi CUF na CHADEMA wakae pamoja kurudisha heshima ta Taifa hili badala ya kuanza tena malumbano ya muungano n.k.
 
Hizo ni kura za urais zanzibar za urais muungano chadema ndio wataongoza si mliona watu walivyo jaa kwenye mkutano wa slaa kule zanznibar?
 
Kituo cha Michakaini, Jimbo la Chake Chake-
Maalim Seif CUF 956
Dr. Shein CCM 246.
Kituo cha Ngwachani
Maalim 623,
Shein 132.
 
duh,me am waiting the final results coz this is giving me hard time here
 
Zanzibar Presidential Results

1) Kituo Cha Bwawani-Unguja

Maalaim seif Shariff CUF 593
Dr Shein CCM 141

Jimbo la Chake Chake-Pemba
Kituo cha Michakaini
Maalim Seif CUF 956
Dr. Shein CCM 246.
Kituo cha Ngwachani
Maalim 623,
Shein 132.​

 
Huu Uraisi unamnukia Hamad......JK kumchagua Dr. Shein alikosea mahesabu....angelimwacha...........Bw. Nuklia aendelee huko kwa sababu ana ngome kubwa Unguja....wazo la waunguja watamchagua mtu yeyote ili mradi wa CCM lipo mashakani sasa....................
 
Huu Uraisi unamnukia Hamad......JK kumchagua Dr. Shein alikosea mahesabu....angelimwacha...........Bw. Nuklia aendelee huko kwa sababu ana ngome kubwa Unguja....wazo la waunguja watamchagua mtu yeyote ili mradi wa CCM lipo mashakani sasa....................

naam mabadiliko ya kweli yataletwa na vijana na wazee wazalendo hivyo basi ni tumaini la watanzania mshindi ndiye atakayekabidhiwa serikali !
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom