ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,681
Kamanda ZeM, nina imani watu wengi tunahisi amefika hapo alipo kwa sababu waheshimiwa walitaka mtu asiye na uwezo wa kuwa-challenge, mtu wa 'yes' 'yes' na mtu wasiyemuhofia kwa lolote....
Frankly, sioni huyu Dr. Chein akipewa nafasi ya kugombea urais whether 2010, 2015 au muda wowote ule!
Sasa hivi afya yake haiko ''perfect'' ngoja tuone itakuwaje hapo 2015.
Swala la yes yes, i dont think so. Shein ni challenger kuliko anavyoonekana kwa haraka haraka.