Kyachakiche
JF-Expert Member
- Feb 16, 2009
- 983
- 207
Mkuu Invisible,
Hiyo tatu bora ni katika "ascending order" or "descending order"?
Toka Zanzibar walipangwa hivyo hivyo mkuu!
Mkuu Invisible,
Hiyo tatu bora ni katika "ascending order" or "descending order"?
teh teh teh teh mkuu inabidi wategemea kweli kuna kula kweli leo maana twangojea kwa hamu sana kujua ni kiongozi yupi atatukwamua huko zenji.
Kweli twahitaji kiongozi shupavu mwenye busara hekima na msikivu kwa wanchi wa zenji na bara pia twahitaji mabadiliko na maendeleo sasa nadhani katika vuguvugu hili ccm wanapaswa kujipanga vyema kuboresha chama nadhani mambo yako wazi nyakati hizi, watu wasikimbilie uongozi bora uongozi twahitaji viongozi wawajibikaji
tupeni detailz pindi mpatapo kutoka dom.
Eeeeh kwli nimesikia ati mr.sitta ameiuliza serikali ya ccm kama inadhamira ya kuhamia dom na anashangazwa kuwa serikali yaendelea jenga nyumba za mawaziri dar?
Kwanini hili laendelea ccm wanashindwa timiza sera hiyo toka 1980's kweli ?????? Hiii napenda iende kwa vijana kama wakina january makamba wanao sema wanakuja na chachu na kutaka kurekebisha mustakabali wa nchi hii
Mkuu hata namimi naomba Sheni apitishwe, maana nitacheza tarabu usiku kucha nikishangilia kifo cha CCM Unguja, nina hakika tena 100% kuwa Sheni hakiwezi kishindo cha MAALIM SEIF SHARIFF HAMAD na hasa akiwa naye ikulu, HAKIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII!!!! HAKI SAWA KWA NANIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII!!! HAKI SAWA KWA WOTEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!Poa mkuu.
Yaani sielewi kwa nini watu wanatumia muda wao kusubiri majibu yaliyo wazi kabisa. Naamini bila shaka kuwa mgombea wa ZNZ ni Dr Shein.
Ngoja wadau wasubiri confirmation.
wafu wazike wafu wenzao!!msiumize vichwa ccm ina wenyewe wache wenyewe na mambo yao
Mchuano umekuwa mkali sana wagombea wanachuana kwa karibu sana.
Hivi kura za maluwani hazitapigwa kweli upande wa Bilal?
In a fair play game Shein Vs Shariff ni sawa na pambano la Tyson Vs Joti
In a fair play game Shein Vs Shariff ni sawa na pambano la Tyson Vs Joti
Kama Bilal atatemwa hana haja ya kumtafuta mchawi mchawi wake ni yeye mwenyewe na wapambe wake uchwara yakiwemo magazeti na waandishi uchwara wasiojua mbinu za ku back mtu.Breaking news! Bilali katemwa
UWONGO!Breaking news! Bilali katemwa
UWONGO!
Ni mpaka saa 11 jioni ya leo (mida ya Tanzania) ambapo CCM watampigia kura mmoja wa watatu ambaye ndiye atakuwa mwakilishi wa CCM kwenye uchaguzi wa urais wa Zanzibar 2010
Mkuu fafanua nkupe 'senks'
Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!
Thank you for supporting JF! <---(click to support us)
Waliochangia 2010: <--- (click to read)
JINSI YA KUCHANGIA JF<---(click to read)
:coffee:
24/7 Email SUPPORT: support@jamiiforums.com
Mkuu Fidel80,
Haki ya nani nakwambia akipita Dr.Sheni vumbi litakuwa si dogo unguja wakati CUF itakuwa inapiga makofi kwa kucha, CCM wengi Zanzibar watagomea kura ya maoni na uchaguzi mkuu, na sheni akija Unguja atapokelewa na wachukuzi bandarini au labda aje na mamluki wake kutoka huko huko Dom, yaani uchaguzi wa mara hii raha sana, nampongeza Maalim Seif kwa uhodari wake wa kizielekeza siasa za Zanzibar akama apendavyo yeye,ngoma na mziki unaochezwa Dom hivi sasa composer ni mwenyewe kamanda Maalim Seif, hongera sana.
mkuu katika muda usiofikia saa moja mambo yameshageuka? Anyway, pamoja na ubaya, udhaifu na upungufu wa CUF bado wanaweza kuiengua CCM Zenji.