Elections 2010 Dr. Shein aibuka kidedea; kuiwakilisha CCM urais Zanzibar 2010

Now you have Karume, Maalim, and Bilal who fiercely do not want muungano. These guys are few years away from "freeing themselves". And we pray the curse of oil won't follow Zenji.
 
its over.shein ameshapita.let the bygone be the bygone.albeit,hii system ya ccm kuruhusu wajumbe wa pande zotekupigia kura rais wa zenj sikubaliani nayo.let the zanzibari choose their leader.kupita kwa shein kutabadil upepo wa siasa za visiwan.mambo haya yanaweza kutokea(i acept challenges);
1.msuguano wa u-unguja na upemba zitapungua(shein+seif=pemba)
2.cuf watapata urahis ktk siasa za majukwaan na kampen kwa sbb shein sio competant kwa hili
3.kura ya maon khs SUK itafanikishwa kwa sbb shein sio fundamentalist
4.baadh ya kura za wapemba walioipigia cuf kwa sbb ya kuwa marginalized hazitotabilika this time
5. msiba kwa ma-conservatist wa zenj.akipita seif au shein babo ni grave kwao
6.cuf wanaweza kushinda kama uchaguz ukiwa fair.shein is not popular in zenj
 
Let us ask ourselves..Hivi ni wangapi wetu tunaoamini kwamba CCM inaweza kuachia madaraka Znz?? Tuwe wakweli ktk kujibu hili.

A,

Mimi si mmoja wao. CCM itaendelea kutawala ZNZ ili mradi watu wa bara wanaendelea kuzubaa na kuibiwa kura au kuuza kwa sahani ya pilau na soda za mara moja kwa mwaka kama wagonjwa!
 
Sasa baada ya uchaguzi tushuhudie mvutano wa jakaya na shein. Watu ambao hawakuwa na liliowafungamanisha. Tutashuhudia siasa za kweli kati ya bara na visiwani
 
nadhani ni faraja kwa wapemba na watu wa unguja kwani ile kauli ya kwamba ndani ya miaka 50 toka mapinduzi hakuna mpemba atayeshika urais imevunjwa bravo wapemba
 
..siasa zinachukua muda mwingi and too much energy kwa ndugu zetu wa-Zenj.

..kama Mtanganyika ningependelea zaidi wa-Zenj wamchague Dr.Shein ambaye kwangu mimi namuona ni Technocrat zaidi kuliko mwanasiasa.

..pia nimetiwa moyo na kuungwa kwake mkono na wana mapinduzi kama Mzee Hassan Nassoro Moyo na Maj.Gen.Abdallah Natepe, pamoja na kwamba Dr.Shein ni Mpemba.

..matumaini yangu ni kwamba wa-Zenj sasa wataachana na siasa za kampeni chafu na za chuki na visasi zisizokwisha na badala yake watakuwa kitu kimoja ktk kuiletea maendeleo nchi yao.

..pia natumaini suala la MAFUTA litaondolewa ktk Muungano, na huo utakuwa ndiyo mwisho wa wa-Zenj kutu-demonize na kutusukumizia matatizo yao wa-Tanganyika.

NB:

..je Maalim Seif alipochaguliwa na CUF kugombea Uraisi wa Zenj alipigiwa kura na wajumbe wa Zenj peke yao?

..Dr.Bilali ambaye amegombea mara 3 hii nafasi should have known better. he had 5 yrs toka 2005 kuwa-convince wajumbe wa NEC toka Tanganyika kwamba he is the right candidate for the post.
 
Ndugu yangu Halisi, thanks a lot kwa information tupo pamoja na wananchi wengine wote JF asalam waleikum ndugu zangu, muwe na amani! Kwa herini ya kuonana tena!

FMES!

Kila la kheri huko uendako; inasemekana huko Mtera mna kazi ngumu sana unashindwa hata kudonoa donoa keyboard!!
 
its over.siasa za dodoma zimevuna.m2 wao(shein)ameachieve.albeit wakubwa hii system ya rais wa zenj kuchagu liwa na wajumbe ktk bara na visiwani sikubaliani nayo kabisa.let the zanzibari choose their leader.i fore-cast the following after shein"s cooked victory(i accept challenge);
1.siasa za msuguano wa u-unguja na upemba zitapungua(shein+seif=pemba)
2.kura ya maoni ya SUK itafanikiwa kwa sbb shein sio fundamentalist
3.msiba kwa conservatist wa visiwan(seif na shein sio chaguo lao)
4.CUF ITASHINDA UCHAGUZ UKIWA FAIR:humble:
5.kuna posibility ya mbinu za kimafia na mabavu kuongezeka this time ili kufanikisha ushindi wa shein.jamaa sio popular visiwani
 
naamini baada ya kuitwa "mzee wa mikasi" atakuwa na
usongo na wote waliombebesha mikasi na atataka kudhihirisha
kwamba anauwezo wa kufanya zaidi ya kufungua mabucha!
 
naamini baada ya kuitwa "mzee wa mikasi" atakuwa na
usongo na wote waliombebesha mikasi na atataka kudhihirisha
kwamba anauwezo wa kufanya zaidi ya kufungua mabucha!

Hata mimi naona huyu Dr.Shein hajawahi kucheka zaidi ya kutabasamu kwa maana bila ya shaka yeyote ile inaonyesha atakuwa na hasira na wale waliokuwa wakimpangia kufungua maduka ya kuuzia mihogo na nazi ,sioni jambu kubwa alilolifanya wala sijawahi kusikia akihutubia hutubia kwenye mahafali makubwa.

Yaani huyu atakuwa na hasira za aina yake si ajabu akamwalika Kikwete kwenda kufungua soko jipya hapo mwakani.
 
Ni dhahiri kwamba kutatokea mabadiliko kwenye uwiano wa nguvu za vyama hivi kwenye visiwa hivi viwili. Kama walivyosema baadhi ya wachambuzi hapo juu, wapo Wapemba wengi ambao si wana-CUF, lakini walikuwa wakikiunga mkono chama hicho kutokana na kujihisi hawatendewi haki; kura zao hazitabiriki. Vivyo hivyo, sio wakazi wote wa Unguja ni wafuasi wa CCM; kura zao zinaweza kuangukia popote.

Sitashangaa sana iwapo hata uwiano wa viti vya ubunge na uwakilishi kati ya CCM na CUF ukawa tofauti sana safari hii.

Kama wakiendelea kuwa makini, naamini kete waliyoicheza CCM safari hii itasaidia kupunguza mivutano isiyokuwa na maana. Kitendo cha Waasisi wa mapinduzi kutangaza wazi kumuunga mkono Shain kabla hata ya uchaguzi, nacho kinaongeza chachu kwenye mwelekeo mpya wa Zanzibar.

Kila la heri Zanzibar
 
Mie nadhani hapo Bilal ataambiwa awe mgombea mwenza JK na hivyo atapunguza msuguano Zenji. Wakati Shein ataukwaa urais wa Zenji. Wakishashinda then Bilal watakuja kumuweka pembeni mbeleni.
This is correct prediction, Paul the Octopus
 
Nina mashaka kidigo na uwezo wake katika kuiongoza Znz kwani siasa za huko zinamtaka mtu ngangari .

All in all . Hongera mzawa wa Chokocho ndani ya mkanyageni Pemba
 
Back
Top Bottom