Dr. Shayo wa UK si bingwa wa uchumi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Shayo wa UK si bingwa wa uchumi

Discussion in 'Celebrities Forum' started by kanda2, May 14, 2009.

 1. k

  kanda2 JF-Expert Member

  #1
  May 14, 2009
  Joined: Apr 22, 2007
  Messages: 1,318
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Kwa muda mrefu mdau wa UK Dr.Shayo amekuwa akiitumia blog ya Issa Michuzi na kujifanya kama ni mtaalam wa uchumi toka London Southbank university wakati ukweli ni kuwa Dr.Shayo ni bingwa wa mazingira na hana hata certificate ya uchumi.

  nia yangu ni kuwaweka wazi wenzangu,kwani tumewahi kumpata bwana Jack Pemba akisema yeye ni ajenti wa mpira toka UK wakati website ya Fifa haisemi hivyo.

  ukipitia website ya London SouthBank University www.lsbu.ac.uk chuo hicho hakina kozi hata ya diploma ya uchumi na pia si katika vyuo bora UK.
  Naomba wanaomjua DR.Shayo au DR.Shayo mwenyewe atupe ukweli wa habari labda nilivyofahamu mimi ni tofauti.

  Hivi karibuni alifanya Interview kama mtalaam wa uchumi toka UK mimi niliamini hivyo hadi nilipoelezwa tofauti. hili linatusaidia huko mbele ya safari kwani kuna watu wamewahi kuja hapa nchini wakisema wamehitimu utawala marekani wakapewa UVC wa Mzumbe wakati ukweli sio ulivyo.
  kinga ni bora kuliko tiba.
   
 2. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #2
  May 14, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  tehe tehe mkuu utaambiwa una wivu stop hating
   
 3. k

  kanda2 JF-Expert Member

  #3
  May 14, 2009
  Joined: Apr 22, 2007
  Messages: 1,318
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Usipoziba ufa utajenga ukuta.tusitumie neno hate kama kinga ya maovu.DR Kamala alipohojiwa kuhusu PhD yake kwa vile ni feki alisema wanaouliza wanamuonea wivu kwani hajaenda kwao kuomba kazi.

  sijakataa kama DR.Shayo ana PhD lakini hana udaktari wa uchumi.fuatilia interview yake na michuzi anavyo pretend kama ni bingwa wa uchumi.
   
 4. s

  skasuku Senior Member

  #4
  May 14, 2009
  Joined: Apr 19, 2008
  Messages: 113
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mkuu ulikua una post hii katika ZeUtamuz? Maanake hapa unajaribu kum-undermine Dr Shayo na sii sehemu yake.

  Naungana na YoYo... stop hatin'....
   
 5. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #5
  May 14, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  kazi ipo!.....
   
 6. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #6
  May 14, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  hapana mkuu hukunisoma vema.....nilisema watu watamuambia ana hate....lakini ukweli ni kuwa jamaa sio bingwa wa uchuni ndio wale wale wakina mashaka wa wall street ya North carolina.....
  -
  labda sijajua tafsiri vizuri

  https://phonebook.lsbu.ac.uk/php4/person.php?name=shayo.h
   
 7. s

  skasuku Senior Member

  #7
  May 14, 2009
  Joined: Apr 19, 2008
  Messages: 113
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Asante kwa ufafanuzi... ila dhamira yangu ipo pale pale.... Iwe Mashaka au Shayo... sii vyema kuanzisha post yakum-undermine mtu. Unless kweli tuna uhakika jamaa hawa wanatupotoza then sawa, post hizo nondo zinazoonyesha utapeli. Otherwise mtu anaweza kurupuka na kusema fulani feki just out of spite. JF tujaribu kujenga si kubomoa....
   
 8. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #8
  May 14, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  aisee mkuu vipi soma hii link labda na usome post ya kanda2....

  https://phonebook.lsbu.ac.uk/php4/person.php?name=shayo.h

  kuna jamaa aliwahi kuhudumu kama daktari wakati sio....bongo hio....
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  May 14, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Huyu Shayo na mwenzake Mashaka ni ma fraud tu. Ila baadhi ya wajinga wajinga wanawaona watu wa maana sana. Eti wasomi. Huyu Shayo huyu si ndo ali plagiarize makala yake ya Valentine's day huyu.
   
 10. A

  Aluta Member

  #10
  May 14, 2009
  Joined: Aug 16, 2008
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Tukiamua kuchambua nani ni mtaalam wa nini na anafanya nini basi nadhani Tanzania tunao watu wa aina hiyo wengi sana. Na ndio maana mambo yanaenda hovyo hovyo...Hebu muulizeni Kikwete Dr. Mwinyi ana utaalam gani national defence; au Sarungi alikuwa na utaalam gani na masuala ya national defence? Na ni shule ngapi zina waalimu ambao si professional zao, e.g ma-engineer kufundisha advanced mathematics? This is a national trategy..
   
 11. j

  jibabaz Member

  #11
  May 15, 2009
  Joined: Jun 23, 2008
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MMMMhhh hapa patamu. Dr Shayo, Dr Mashaka nani zaidi? Mi nadhami Mr Mengi ambae walau yeye anachukia mafisadi. Sijaona hata moja wa hao jamaa hapa yaani Mashaka na Shayo wakitoa tamkojapololote kukemea ufisadi, na sidhani kama waliongelea hata kaa ufisadi ni one of the elements zinazozidishaumaskini bongo..i stand to be corrected
   
 12. m

  mnozya JF-Expert Member

  #12
  May 15, 2009
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 207
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  1. South Bank University ni miongoni mwa vyuo hapa London vinavyoheshimika. Mimi nakijua na nipo hapa London.

  2. Naomba ufahamu kuwa rank zinazotolewa na mitandao za vyuo hazina ukweli hata wa 80% mfano hapa UK kuna university nyingi sana na ipo mitandao mingi inayojaribu kuvirank mfano unaweza ukakuta mtandao A umeirank metropolitan University ya 60 mtandao B unaweza irank ya 20 na mtandao C ukairank ya 113 hapo utaona uwiano haupo.

  3. Kingine kila mtandao unacriteria zake.

  4. Pia mtu kuitwa bingwa kwa kiingereza ni expert AU Specialist ni kwamba anatakiwa awe na Masters digree. Sasa ni vema ukaweka hapa CV ya Dr Shayo kabla hujaanza kumponda.
   
 13. Mlalahoi

  Mlalahoi JF-Expert Member

  #13
  May 15, 2009
  Joined: Aug 31, 2006
  Messages: 2,065
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Vichwa vyenye ubongo timilifu hujadili masuala,vichwa vyenye ubongo wenye uwezo mwepesi hujadili watu...need I say more?
   
 14. MwanaHabari

  MwanaHabari JF-Expert Member

  #14
  May 15, 2009
  Joined: Nov 9, 2006
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwani mazingira hayaendani na uchumi? bottom line ni msomi ambaye atayetoa views zake kama mtu yeyote, chambueni hoja zake point by point,

  Dr Hildebrand Shayo is a policy research economist in London. He conducted research on natural resources management particularly timber for construction between 1997 and 2004 in Tanzania. (Tanzanian Affairs ยป Contributors)
   
 15. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #15
  May 15, 2009
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Dr Hildebrand Shayo (PhD) ni msomi...period.

  Kwa wasiomfahamu, Business Card yake ina inasema hivi:

  Associate Professor Economics/ Sustainability.
  Construction Knowledge Exchange (CKE)
  Faculty of Engineering, Science the & Built Environment
  London South Bank University

  Tafadhali tujadili mambo mengine..
   
 16. ChingaMzalendo

  ChingaMzalendo Senior Member

  #16
  May 15, 2009
  Joined: Nov 9, 2008
  Messages: 193
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  wewe babu katafute kazi nyingine ya kufanya hacha umbea na wivu. Tupo hapa tunachungulia. Hapa siyo ze-utamu ambako wadau wanamwaga datazzzzz za kipuuzi

  shayo ni msomi , kwa hiyo kama unapingamizi na elimu yake, mwandikie barua au mpigie simu. Hacha kujadili watu kama una kitu cha kuchangia katika mada zake, basi ilete badala ya kumjadili mtu binafsi
   
 17. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #17
  May 15, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Na Mashaka naye je? Anafanya kazi kweli Wall Street?
   
 18. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #18
  May 15, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Jamani mashaka kaingiaje hapa? acheni kujadili watu, leteni issue za maana jinsi ya kuondokana na umasikini nchini kwenu.
   
 19. k

  kanda2 JF-Expert Member

  #19
  May 15, 2009
  Joined: Apr 22, 2007
  Messages: 1,318
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Yebo yebo.
  Umeona vitu alivyoweka Yoyo hapo juu? DR.shayo yuko kitengo cha Environment hakuna uchumi hapo source ni chuo chenyewe sio Yebo yebo.

  mnaosema tusijadili watu jee tunajadili nini kila siku humu?mara Rostam, mara Mengi kwani mtu kujipa sifa ambayo sio yako sio ufisadi?

  Kamala,Nagu,Nchimbi wamejadiliwa sana humu kwanini tuwajadili wakati elimu yao haihusiani na siasa zao? acheni double standard zenu.

  mnaweza kupitia universities league table kujua kuwa London southbank University si chuo cha maana.hili litawasaidia wanaotaka kwenda kusoma UK wawe waangalifu kwenye kuchagua vyuo.

  DR.Shayo ni bingwa wa mazingira amsaidie waziri DR.batilda Burian kwenye uchumi awaache kina Professor Ndullu na Lipumba.
   
 20. k

  kanda2 JF-Expert Member

  #20
  May 15, 2009
  Joined: Apr 22, 2007
  Messages: 1,318
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  kwa mujibu wa London South bank wameandika kuwa DR.Shayo position yake ni Senior Research Fellow.

  Department ya Engineering,Science and the Built Environment.
  yuko section ya property,surveying and construction.

  huo u associate professor wa Economics umempa wewe.
  kwanza chuo chenyewe hakina kozi hata moja ya uchumi tizama website yao.
  wangesema kama yuko kitengo cha uchumi acha kuwafagilia watu kibubusa.
   
Loading...