Mwanamalundi
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 3,125
- 1,432
Point is, you cant have an Economist being an Engineer. But you can have an Engineer being an Economist or Financial Modeller as someone pointed out. Ndio kina John Nash hao.......ila usiweke John Nash na Dr. wetu katika sentensi moja.
Dogo, kanda2. Inawezekana huyo Dr.Shayo si bingwa wa uchumi kutokana na vigezo vyako. Sina ubishi sana kwenye hilo. Ila ninakupinga unaposema kuwa huwezi kuwa bingwa wa uchumi bila kuwa na misingi ya uchumi. Na hapa unamaanisha BSc in economics. Hilo nakukatalia. Hata Nzokanhyilu atakukatalia hilo. In fact, the above quotation supports my arguments.
Naona unawapigia debe sana hao queen mary uni. Sasa ngoja nikupeleke kwenye CV za wakali wa Havard. Kama umesoma uchumi, nadhani unamfahamu Robert Baro. Degree yake ya kwanza nini? Physics. Aint it? Leo Unaweza kumlinganisha Ndullu na Robert Baro? Tofauti yao ni kama Mlima kilimanjaro na kichuguu cha mchwa.
Angalia CV ya baro hapa:Harvard Econ Department - Contact Info for Robert Barro
Unamjua Robert Lucas, Jr? Nobel price winner wa Economics Degree yake ya kwanza ni HISTORIA. Mwaka 1961!
Angalia hapa:Robert E. Lucas, Jr.
Narudia tena. Inawezekana Dr.Shayo si bingwa wa uchumi, lakini sio lazima kusoma uchumi shahada ya kwanza ili uweze kuwa mchumi mahiri. Kwa taarifa yako, LSE wanaweza ku-reject hiyo MSc yako ya Queen marry katika application ya PhD na wakamchukua mtu aliyesoma Electrical Engineering, Stanford University. We know!