Ni kweli kabisa Mkuu.
Ukichunguza PICHA utagundua mambo mengi sana sana.
Kwanza inaonyesha wazi kabisa kuwa hiyo picha, aliandaa Mavitabu na kuyaweka mezani ili apige picha.
Pili kama ni meza yake kweli ya ofisini/nyumbani, utagundua kuwa kuna SIMU mezani ni vitabu vimejaa hadi sehemu ya kuwekea kitabu mezani ili usome au kuweka karatasi na kitabu ili uandike kitu kwa kweli hamna. Pamejaa tele.
Tatu, mtu gani unasoma ukiwa umeshika kitabu kama uko kwenye kochi?
Kwa umri wake na elimu yake, kitendo cha kupiga picha za namna hiyo ili kuwafanya watu wakuone wewe MSOMI, kinatia aibu sana na kinaonyesha jamaa kaanza mchezo wake wa kudanganya miaka mingi.
Ndiyo maana anaikimbia JF kama ukoma maana huku kuna akina Kiranga, Bluray, Fundimchundo, Nyani Ngabu na wengine wakali wengi sana ambao watamfichua mapema tu.
Walimtoa BARU Mheshimiwa wa Singida, Moh Dewji na hakuja tena na vi-artical vyake.
Wakaifumua na habari ya Daraja la Kigamboni kuwa limeshajengwa na kampuni ya Egypt na ilibidi Wa-Egypt waombe msahama.....
Hivyo, msilaani sana Watanzania, hata wao Wa-Egypt walishatuchakachua, tetetete.......
🙂
HUYU LAZIMA ATAKUWA CCM. Ndiyo maana yuko kwa Michuzi tu.
yani siamini hata kama hivyo vitabu hapo amesoma , au hata kama anajua jina lakitabu anachokisoma, inanifanya niamini hiyo picha amepiga ili aaminike zaidi kwamba ni intellectual wa naman fulani....