AbasMzeEgyptian
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 407
- 312
Nilikuwa sijastukia kuwa Michuzi aliondoa ile barua toka Al Ahram
This is embarrassing..
This is embarrassing..
Hawa ndio diaspora mnao wapigia debe?
Can we give him a chance to respond to this issue? Mod mtafute aseme wazi kwa nini amefanya hayo yanayosemwa. Isije ikawa huckers wamefanya kazi yao (sheer apology) kumcook aonekane si kitu. Let give him a room if possible.
Kuna kipindi kulikuwa na thread humu iliyomtuhumu Dr Shayo kuwa ni Plagiarist aliyebobea na kuna watu waliquestion mpaka authenticity ya kuitwa "Dr"
Well...Juzi kamwaga article kule Michuzi Blog ( JF hatii mguu maana huku kuna wale arm chair critics ambao they enjoy nothing but kunyambua makala kama za akina Shayo). Jamaa aliandika article Michuzi on Libya kumbe si yake na haku acknowledge source
Sasa wenye article yao ni gazeti hili la Egypt wamescan wakakuta kuwa huyu Dr wa Michuzi alinyofoa article kwao bila kutoa reference:
Nimeona bora niiwahi kabla Dr wa Michuzi hajaamka akaomba iondolewe katika ile style ya kuchomoa kama anazofanya Mange kwenye blog yake kule.
nimeshindwa ku copy na kuleta hiyo allegation humu lakini mwenye uwezo naomba awahi kabla Michuzi hajaifuta.
The conspiracy in me kinda thinks hii ni set up ya the other dude by the name of JOHN MASHAKA
article aliyoiiba SHAYO hii hapa:
Al-Ahram Weekly | Opinion | The end of change from abroad
na akaenda kuibandika michuzi hapa:
http://issamichuzi.blogspot.com/2011/03/democracy-at-barrel-of-gun-doesnt-work.html#comments
Al Ahram wenyewe naona kuna SNITCH kaenda kuwaaambia kuhusu huu wizi wanataka maelezo toka kwa michuzi hapa:
http://issamichuzi.blogspot.com/2011/03/authenticity-of-article-dr-shayo.html
kwa kuongezea tuu ni kuwa in 2008 alishawahi kuchambuliwa vilivyo hapa JF kwenye thread iliopo hapa:
https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/21236-dr-hildebrand-shayo.html
kwenye ile thread inasemekana mwenyewe au mtu wake wa Karibu alikuja kuweka records sawa na kumwaga wasifu wake kwa kusema hivi:
jamani kama reference yake ni Dr NCHIMBI then we have a problem kwa sababu Nchimbi naye PhD yake jamaa wamei question sana
[/COLOR][/U]
Tunahitaji wasomi kama hawa waliobobea ili kujenga taifa letu changa. Dr.Shayo anastahili kupewa kazi ya Gavana wa BOT, Profesa Ndulu akistaafu.