"DR" Shayo the plagiarist

"DR" Shayo the plagiarist

Kama hata mkuu wa nnjiii anakariiri kwa watu wengine inakuwaje? vitabu vingi kumbe usharobaro tu! imekula kwake kama kazoea vya kunyonga kunchinja hawezi.
 
Mimi hapa ndo ambapo huwa nawaaminia watanzania wenzetu wa kaskazini the so called wachaga. huwa wanafight kwa namna yoyote ile kufika kileleni. Ila mkuu nakushukuru sana kwa kuumbua uozo huu angalau wengi wenye mawazo ya mafanikio bila kuyafanyia kazi watajifunza. thank you in advance.
 
I am shocked and disapointed Shayo ameshindwa kutoa credit kwa author

inasikitisha sana,

I think he had the intent not to (give credit to the author) and knew exactly what he was doing. What modern day academic institution does not emphasize the importance of not plagiarizing. I mean if you took a middle school kid they would know that. I for one would admit that was one of those who were impressed until these new developments came to light. Sad indeed! For his own sake he better own-up to this and save what little credibility he had, which from reading comments on here it seems he never had any to begin with
 
Kwa kweli I would suggest that Dr. Shayo should come out clean on this! Akubali kama amekosea sana. I am afraid no body will take him serious kabisa.... Harafu unajua ile blog ya Michuzi hata ukiangalia wachangiaji wengi utagundua uwezo wetu wa kufikiria. Michuzi asilaumiwe, maana najua kabisa...yeye ile blog yake..ni ya matukio na sherehe..it was never meant to be an intellectual platform...

Harafu niliona sehemu fulani kaandika eti alifanya PhD London School of Economics (LSE)? Kuna ukweli katika hili? I used to think alisoma London South Bank. Anyway, he should know that we live in the world of google and facebook!
 
nimepitia hizo links, inasikitisha, amefanya watu kwenye blog ya michuzi wampongeze na kumsifu kwa contributions zake kwenye jamii na bara la afrika..duh, itabidi aombe msamaha.

huyu jamaa (Dr) na yeye anasikitisha sana, watu wana plagiarize sana tena, lakini sio ku copy na ku paste article nzima, watu hua wanachomoa angalau ideas au lines kadhaa...

hii aina ya plagiarism inaonyesha kwamba huyu jamaa hana kabisa uwezo wa kufikiria hata kidogo mpaka kashindwa hata kubadilisha maneno![/QUOTE]

... mmh! an interesting new metric for Intelligence quotient, aka, IQ.
 
Kwa kweli I would suggest that Dr. Shayo should come out clean on this! Akubali kama amekosea sana. I am afraid no body will take him serious kabisa.... Harafu unajua ile blog ya Michuzi hata ukiangalia wachangiaji wengi utagundua uwezo wetu wa kufikiria. Michuzi asilaumiwe, maana najua kabisa...yeye ile blog yake..ni ya matukio na sherehe..it was never meant to be an intellectual platform...

Harafu niliona sehemu fulani kaandika eti alifanya PhD London School of Economics (LSE)? Kuna ukweli katika hili? I used to think alisoma London South Bank. Anyway, he should know that we live in the world of google and facebook!

Mkuu amesomea London South Bank University PhD yake na sio London School of Economics. LSBU ni chuo cha rank ya chini kabisa UK hivyo sishangai haya madudu ila ushauri wa bure kama hawezi kuandika kitu ni bora anyamaze kimya amasivyo anajiabisha bure...
 
Katika Ulimwengu wa taaluma, huyu ndugu amefanya kosa kubwa sana, tena kwa kudhamiria. Jamii makini inaweza kwenda mbali zaidi na kuhoji uhalali ya shahada yake ya uzamili na hata hiyo ya uzamivu kwakuwa inaonekana dhahiri kwamba jamaa hawezi kuandika mawazo yake mwenyewe. Hii ni mbaya sana, yaani tunageuza elimu kuwa mtaji wa kupatia sifa zisizostahiki?!!
 
John nashukuru kwa mchango wako mkubwa sana nimepitia hizo wavuti zote kwa kweli inaonyesha madoctor "PHD" wa kitanzania walivyo na ni jinsi gani hatufikirii mbali. that plagiarism is the best of its kind on part of Shayo. au huyu bwana ni Human Doctor sababu lazima wa copy na kupasate la sivyo mtu atakufa kwa matibabu yasiyo sahihi

Utashangaa wakirudi nchini wanakimbilia siasa badala ya kutumia vichwa vya kusaidia jamii na kutengeza pesa na ndio wanakuwa wapiga porojo kama Makamba kumbe wizi mtupu
 
Dah kweli we have a long way to go..watu wanapenda kuonekana wasomi bila kutoka jasho,no wonder kuna ma PhD fake kibao bongo.Kuwa academician ni msoto na mateso.Sasa kina Shayo acheni upuuzi huu wa kuwakatisha tamaa vijana wanaojituma ili wawe true academicians.
 
John nashukuru kwa mchango wako mkubwa sana nimepitia hizo wavuti zote kwa kweli inaonyesha madoctor "PHD" wa kitanzania walivyo na ni jinsi gani hatufikirii mbali. that plagiarism is the best of its kind on part of Shayo. au huyu bwana ni Human Doctor sababu lazima wa copy na kupasate la sivyo mtu atakufa kwa matibabu yasiyo sahihi

Mkuu,plagiarism got no excuse in all fields of study.Hata hao human doctors wakifanya research,wakaandika research article au medical journal labda wana suggest a new approach to the patient with heart failure au appropriate dose ya aspirin ku prevent heart attack/stroke,ni LAZIMA pamoja na ugunduzi wao mpya wa cite pia sources walizotumia na tafiti ambazo ziliwahi kufanyika na matokeo yake.
Huwezi ku copy kazi ya mtu word to word bila kum acknowledge the original author
 
Kaka, this guy is not only a faker..nadhani iq yake pia inalingalingana na ya kuku..watu walishamjadili sana huko nyuma kuhusu konakona zake kwene academix, halafu recently ana-pull huu upupu.its amazing!.its obvious huyu bwana hana hata punje ya commonsense.

Hili ndio tatizo, maana swala la plagiarism siyo swala la eti ana PhD au hana! even std seven akikopy kitu anatakiwa aweke source! Common sense is not always common.
 
Kwa kweli I would suggest that Dr. Shayo should come out clean on this! Akubali kama amekosea sana. I am afraid no body will take him serious kabisa.... Harafu unajua ile blog ya Michuzi hata ukiangalia wachangiaji wengi utagundua uwezo wetu wa kufikiria. Michuzi asilaumiwe, maana najua kabisa...yeye ile blog yake..ni ya matukio na sherehe..it was never meant to be an intellectual platform...

Harafu niliona sehemu fulani kaandika eti alifanya PhD London School of Economics (LSE)? Kuna ukweli katika hili? I used to think alisoma London South Bank. Anyway, he should know that we live in the world of google and facebook!
Kaandika kasoma LSE lakini hajasema kama ni PHD labda kama umesoma sehemu nyingine.
 
Mkuu amesomea London South Bank University PhD yake na sio London School of Economics. LSBU ni chuo cha rank ya chini kabisa UK hivyo sishangai haya madudu ila ushauri wa bure kama hawezi kuandika kitu ni bora anyamaze kimya amasivyo anajiabisha bure...
Mkuu kuweka vitu sawa wana rank hivi vyuo based on drop-outs and not quality of education offered, kwa hivyo kusema hiyo Phd yake kaipata kiurahisi is not fair.

That is not to say LSE and LSBU are the same, purely based on the quality of Tutors rather than syllabus.
 
wakuu hii ni aibu.....

Ndugu wana Jamiiforum
Baada ya kuombwa na wanajamii kutafuta wasifu wa Dr. hildebrand Shayo niligundua kuwa huyu jamaa amekwenda shule kweli kweli na siyo mchezo. ninaweza kuwahakikishieni kuwa hiyo issue ya grammer ambayo baadhi yenu wamefanya kama ni kigezo ni kitu cha kawaida katika uandishi, kwani lugha ya kiingereza siyo yetu. Hata waingereza ukiwaambia waandike kiswahili sanifu watakosea tu.

Ila utafiti wangu umegundua haya yafuatayo:
Shule: Huyu jamaa alisoma shule moja huko kilimajaro inaitwa Kisuluni pr. Sch.
Secondary O level Shule ilikuwa kilimajaro na alipata Div. 1 ya point 9
secondary A level Shule morogoro alipata Div 1 point 5
Jeshini alikuwa Oljoro Programme ya chama na alikuwa F coy
Chuo kikuu cha dar es salaam alisoma uchumi
Chuo kikuu MA dar es salaam alisoma Dev. Studies
PhD Kule UK chuo kinachoitwa LSBU
Adv. Diploma GIS geographyical information system/planning pale
Canterbury University UK
Diploma Dilomancy and bilateral negotiation The Netherlands

Kazi: Aliwahi kufanya kazi ofisi ya waziri mkuu pale magogoni
Aliwahi kufanya kazi PCB uhakika muulizeni Hosea director wa PCB
Aliwahi kufanya kazi nyerere foundation kumsaidia Mwal. Nyerere
wakati wa kuwapatanisha waburudi kule arusha
Aliwahi kufundisha pale chuo kikuu IDS
chuo cha ardhi
Muhimbili
Chuo cha maofisa wa jeshi pale Kurasini
Kairuki University
Kwa sasa ni mwalimu huko UK

Chama: huyu jamaa ni mwana UVCCM card number 351008 ilitolewa Moshi 1982
CCM card number 803546 ilitolea Oljoro Arusha
KWA KIFUPI NI MWANA CCM!
Kutoka Bank niligundua anaccount CRDB
NMB tawi la mlimani chuo kikuu
Huyu jamaa ni resource person wa UN organisations, WB, SECO na mashirika mengine ya kimataifa kama BBC UK, Radio ya kiswahili Ujerumani nk.

Dini ni Mkristu na ni mseminaryna ni mtu wa familia!

Kutoka mambo ya ndani Tanzania, utafiti unaonyesha aliwahi kupata pasi ya kusafiria number A01291!! PASI IMEJAA, ALIPEWA PASI NYINGINE A00276!! NA record za hivi majuzi mwezi wa 9/2008 pale dar airport inaonyesha kuwa alipita akiwa na hii pasi mpya AB 0!64!!

mchango wake kwa jamii unaonyesha kuwa ameitembelea mikoa yote ya Tanzania katika nyakati tofauti kati ya 1997-1999. Niliwahi kukutana naye Mbekenyela na Likombe katika shughuli zake za utafiti! Ukitaka kujua ni utafiti wa namna gani basi niwaelezeni next time!!!!

NDUGU WANA JAMII FORUM, siyo kuwa ni kazi yangu kutumia gharama, muda, na kupiga simu huku na kule kutafuta data kama hizi, ila nilitaka tu kwajulisheni huyu jamaa yuko mbali na achaneni naye kabisha??????????????????
Ningewashauri nyie ambao hamna topic za maana muache hizo tabia zenu za kumlinganisha mtu kama huyu na yule mwizi wa magari Mponjoli!
ninafull biography ya huyu jamaa kwani tukiwa oljoro mimi nilikatwa bogi nikapelekwa Makuyuni na yeye akabakia Oljoro. I know him very well.
kama kuna mwana jamii forum ambaye anataka kupingana na detail hizi basi huyu atakuwa mwendawazimu.

Mimi nindahani kama angekuwa ni mtoto wa "kigogo" basi ungekuta sasa hivi ni mtu mwnye .........
huyu ni mtoto wa mkulima na amefika hapo alipo kwa JITIHADA ZAKE

Ndugu wanajamii naomba kuwakilisha HOJA!

Hi nyie wanadamu! hanma haya? huyu jamaa alisom Apostle of Jesus Seminary...na mtakumbuka miaka hiyo ilikuwa shule ya kwanza akiiburuza St James na Maua Seminary nimeomba nilitewe number ya shule zote mbili na za mitihani yake kwa uhakiki lakini ni mpaka jumatatu nitakupeni jibu kamili! bongo saa hizi wako kwenye vikontena!

A level alisoma St Peter's Seminary kwa wale wanaokumbuka ilikuwa inaiburuza kilagala girls! It was one of top secondary school in Tanzania!
kulikuwepo na Mwalimu wa Economics alikuwa anaiywa Mwaisondola na mwalimu wa history alikuwa anaitwa Mshiu na rector alikuwa nanaitwa Father Kizee mpo hapo?

Kuja mwanajamii amesema tunaingilia privancy ya mtu kwani kuna siri gani kama wewe siyo FISADI unaogopa nini? Mliomba mpewe data, nimewapa data sasa mnagopa nini?

Kuna jamaa mmoja kanitumia text kwenye simu anauliza hivi yeye ni mtundu wa computer na mara nyingi huwa anapenda kujua watu. anapendekeza kwa wanajaii forum kumgoogle dr.shayo kwani watapata mchango wake kwa jamii siyo ya kitanzania tu bali duniani.

if you want more details on Shayo ask the following: Dr. Nchimbi, Dr. Siril Chami
 
Sasa nitaandika barua ya ulalamishi kwa hao jamaa wa South Bank University ili watoe clarification kuhusu huyu Shayo

Hawezi kusimamamia wanafunzi wa PhD huku yeye ni kinara wa hizi academic misconduct.

I will not rest till I get to the bottom of this maana not only anwaibisha wanafunzi wa LSBU bali pia Chuo cha South Bank, department yake na pia hao waliomsimamia hiyo PhD yake.

I cant wait kusoma comments za Pasco on this.
 
Pia kuna umuhimu wa kufumua articles zake zote Michuzi ili kupata idadi kamili ya alizoziiba
 
Back
Top Bottom