Dr. Robert Charles Gallo: The man who created AIDS

Inadaiwa virusi vilitengenezwa kwa nia ya kuwamaliza watu weusi duniani (Mkakati wa Marekani 1962 hadi 1978)
- Taasisi yake kati ya 2007-2011 ilipokea zaidi ya Bilioni 70 ili kutengeneza kinga na tiba ya ugonjwa huu ambapo inadaiwa kuna dalili za kupata suluhu.


Kuna hii makala nimeletewa. Sijui kama ilishawahi kuwepo hapa. Ni ndefu kidogo (video) ila kweli inaleta kizunguzungu ukiisikia. Sijui ma Drs mnasemaje juu ya hili swala.

Kumbe Tanzania ndiyo center ya AIDS Africa? Lohhh, nilikuwa sijui. Jitahidini hata msio Madokta msikilize kwani wamelielezea vizuri sana. Ila ukweli hata mie sijui. Na kama ni kweli basi hii ni Weapon of Mass Destruction kubwa kuliko hata Fussion bomb la Mrusi.Kwa anayejua kiundani juu ya hili pia Aongezee Video source
 
Msiumize kichwa sana..wale wanaosoma population studie.. tafuten theory ya Mathias Malthus juu ya population control duniani ya na alichopendekeza ndio busness ya developed world, to the LDC's, angalieni ebola inavyoua waafrika hata madaktari wa kiafrika wanapo contract the deseas wanakufa for lack of treatment...lakini ameupata daktari wa marekani kapelekwa kwao katibiwa kwa dawa wanazodai zilikuwa hazijafanyiwa majaribio..kapona..muingereza naye kafuatwa na ndege ya kijeshi kwenda kutibiwa...what about Afrika..wanamwaga pesa tu wakijua hazitasaidia..........Its painful kuyasema haya.
 
msiumize kichwa sana..wale wanaosoma population studie.. tafuten theory ya Mathias Malthus juu ya population control duniani ya na alichopendekeza ndio busness ya developed world, to the LDC's, angalieni ebola inavyoua waafrika hata madaktari wa kiafrika wanapo contract the deseas wanakufa for lack of treatment...lakini ameupata daktari wa marekani kapelekwa kwao katibiwa kwa dawa wanazodai zilikuwa hazijafanyiwa majaribio..kapona..muingereza naye kafuatwa na ndege ya kijeshi kwenda kutibiwa...what about Afrika..wanamwaga pesa tu wakijua hazitasaidia..........Its painful kuyasema haya...

Pitieni hapa msome kidogo kuhusu ideas za mathias malthus
http://www.colorado.edu/Sociology/gimenez/work/popissue.html
 
Huwa nashangaa kuona hata maprofesa wa kiafrika wanashindwa kabisa kusema ukweli kwamba wazungu ni sumu kwetu waafrika,wanampenda tembo kuliko kuliko wewe kwasababu ww huna cha kunufaisha kama tembo anayewapa pembe, ngozi na kwato
 
msiumize kichwa sana..wale wanaosoma population studie.. tafuten theory ya Mathias Malthus juu ya population control duniani ya na alichopendekeza ndio busness ya developed world, to the LDC's, angalieni ebola inavyoua waafrika hata madaktari wa kiafrika wanapo contract the deseas wanakufa for lack of treatment...lakini ameupata daktari wa marekani kapelekwa kwao katibiwa kwa dawa wanazodai zilikuwa hazijafanyiwa majaribio..kapona..muingereza naye kafuatwa na ndege ya kijeshi kwenda kutibiwa...what about Afrika..wanamwaga pesa tu wakijua hazitasaidia..........Its painful kuyasema haya...

ipo siku mungu wetu atasikia kilio chetu
 
Mwanafalsafa
If you saw the video the doctors who think otherwise also claim to have proof of their beliefs. I did not say tht NGO & researchers wako tight kucheza deal, my point was HIV is feeding the stomachs of many people. There is a lot of back stage politics going on if you watch the video that obviously us in the general public wouldn't know about unless you are in tne inner circle.

The ones talkin in the video are people who have been in the inner circle. I admit in the past there have been challenging deseases but you must put into account that at this day & age technology has improved and also since the discovery of HIV more than a quarter of a century ago we know as much about the desease as we did back then. No major break through has been made.

The conspiracy i was talking about is that if its not more in the business angle why does different antiHIV groups promote more condom usage than sex? Pope Benedict recently faced criticism when whe said abstanance way the way rather than condom usage.

Just a fact, condoms are not 100% but abstanance is na hata useme its human nature kushindwa kuvumilia then a person has to be stupid to see water boiling but still touch the sufuria just to make sure. Why is there such a business angle to all of this? Tell me how many advertisements are they which promote condoms in contrast to those which promote abstanance.

Wheather we agree or not there are people becoming rich due to this epidemic & they are going to want it to go on as long as it can. The question is, this people making billions from HIV do they have a hand on how these researches for a cure a conducted? There ais such a thing as interest groups people & this guys promote their interests whether it affects others or not.

The person credited for discovering HIV is called Dr. Gallo. Gallo was a cancer researcher & as a matter of fact AZT(1st drug used to treat HIV patients) was a medicine Gallo had developed for cancer. When HIV came along he jumped into the band wagon. Both the French & the US claimedto have separated the HIV virus. When the US took credit for it France sued because they has sent the US a sample of the HIV virus & claimed the US had stolen their discovery. When France threatened to sue the US for unethical behaviour they decided to cooperate.

Both the US & France had a different name for the virus I forgot what they were but you can search it on google. SO the two nations came up with the word HIV.

Now what some doctors are saying is that Gallo did not discover HIV as a cause of Aids. They said he made a mistake because his findings were questionable. What they are implying is tht HIV was a mistake but once some interest groups discovered there was money in this they decided to continue with the myth. This is just in short because I watched two documentaries which are hours of information. For more on this go to youtube or veoh & type in AIDS INC. to watch the whole thing.

I am not saying that HIV does not cause Aids, i am saying that there are great minds which think otherwise. Tukubali all of us here are not reseachers on aids, we are just working on the information we are given. So if we listened to the people who said HIV=AIDS why shouldn't we listen to those who think otherwise? One of them must be wrong but shouldn't we listen to both evidence before we make a judgement?

People are frustrated because the desease is claiming millions so people should be willing to listen to other views because obviously what has been done so far is not enough.

I AM NOT SAYING HIV DOESNT CAUSE AIDS I AM SAYING THAT THERE ARE SCIENTIST JUST LIKE THE ONES WHO SAY HIV=AIDS WHO THINK OTHERWISE. IF ALL ARE SCIENCE EXPERTS WHY NOT HEAR OUT BOTH? FOR THE TIME BEING STAY SAFE & PROTECT YOURSELVES.

FOR THOSE WHO DON'T AGREE WITH ME LISTEN TO THE OTHER SIDE OF THE STORY TO BECAUSE IT IS DUMB TO ARGUE SOMETHING YOU HAVENT BEEN OPEN TO LEARN ABOUT. UTAKUWA KAMA WALE WALE WAJINGA WANAOPONDA DINI ZA WENGINE W/OUT KNOWING CHOCHOTE ABOUT THAT RELIGION.

Dah umejitetea sana duh!! mpaka ukawa unaanza kubishana wewe mwenyewe... haya bhana. very interesting nyuuuz
 
Since the discovery and all pain it has brought to Africa we should have stop it by quitting the unnecessary transmission through unfaithful relationships and meaningless sexual intercourses. Africans, we are too ignorant. That ignorance weakness is eating us alive in many other areas not only diseases. Painful truth.
 
Apo kwelii kwenye kuna mkanganyiko kama dr robert hayuko sawa...inakuaje baba na mama wanakuwa na v.v.u wanakufa na mtoto nae anakufa kwa dalili zile zile. Za ukimwi?? Swali hao virusi wanaosababisha ukimwa ni wapi??
 
Nimesoma vitabu mbalimbali vilivyoka katika mitaala ya kufundishia shule za Tanzania na kwigineko duniani,
Nimegundua kuna uongo mkubwa sana kuhusu nadharia halisi kuhusu chanzo cha UKIMWI,
Eti wanadai kwamba UKIMWI chazo chake ni Sokwe(green monkey). Wanaficha ukweli kusudi leo kuu hawa KU KLAN KLAX(KKK) waumalize ulimwengu. kwa sasa Wametuletea EBOLA. Ukweli halisi kuhusu chanzo cha UKIMWI ni kama ifuatavyo;

Shoga mmoja mwenyeji wa Carlifonia aliye kuwa akitumiki kifungo cha maisha nchini Marekani. Alitumiwa kufanyiwa majaribio na wanajeshi wa idara ya silaha za kibailojia (DEPARTMENT OF BIOLOGICAL WAR-FARE OF TRE USA's ARMY) ili kuona athari ya virusi hivi katika mwili wa binadamu.

Mfugwa huyu shoga alitumiwa kwa ahadi ya kuachiwa huru. Na ni kweli baada ya majiribio kukamilika aliachiwa huru na kurudi carlifonia na kuendelea na maisha yake ya ushoga. Baada ya muda mfupi shoga huyu alifaliki. Na mashoga wengine waliafatia. Na hapo ndiyo chazo cha UKIMWI hapa duniani.

Nini chazo cha UKIMWI tujadili.
 
Nimeona upepo tu ebu tumia references wapi tukaresearch au na wewe matokeo makubwa nini? Too vapour...!
 
Ndugu,

Kila chanzo cha jambo baya ni Afrika na kila chanzo cha jambo zuri ni magharibi!!

Hata ukihubiri vp,itabaki hvyo! Mbaya zaidi na waafrika nao wameshaingia kwenye mtego huo!

Njia pekee ya kuondoka kwenye utumwa huo ni kuandika historia mpya, ambayo KAMWE hatuwezi!
 
Nimeona upepo tu ebu tumia references wapi tukaresearch au na wewe matokeo makubwa nini? Too vapour...!

jaribu kufatilia chimbuko la huu ugonjwa utaambiwa ulitokna na nyani au sokwe kwa kulala na binadamu ama binadamu kula nyama ya sokwe.wakati wanasema virusi wanao sababisha UKIMWI hawawezi kuishi sehemu nyingine tofauti na mwili wa binadam inakuwaje hawa virusi wa HIV watoke kwa huyu mnyama walete madhara kwa binadamu ila yeye asipate madhara kama sio ushindi wa kisiasa katika sayansi.
 
Ndugu,

Kila chanzo cha jambo baya ni Afrika na kila chanzo cha jambo zuri ni magharibi!!

Hata ukihubiri vp,itabaki hvyo!
Mbaya zaidi na waafrika nao wameshaingia kwenye mtego huo!

Njia pekee ya kuondoka kwenye utumwa huo ni kuandika historia mpya, ambayo KAMWE hatuwezi!

Kuondoa na huu utumwa tusihitaji misaada yao! tumeseme sasa yatosha.
 
Back
Top Bottom