Tafadhali tuwekee hapa, pendekezo husika la Bunge tulidadavuekabla ya kujiaminisha.Watanzania wote hivi sana macho yetu, masikio yetu na akili zetu zipo magogoni jijini Dar es Salaam baada ya bunge kupitisha maazimio ya kuwang'oa kwenye mamlaka waliopo kwenye skendo ya ESCROW.
Kati ya wengi Prof. Muhongo ni mmoja wapo. Kibarua cha Muhongo tunategemea kitaota nyasi very soon.
SWALI, JE? Muhongo ataenda kuuza Juisi? maana watanzania hatuwezi kufanya uwekezaji mkubwa.
Hata kama atauza juisi, je? atauza kufikia level ya AZAM au ataanza kuuza juisi ya miwa BUGURUNI?
By: MZUNGU MZEE
wanaletwa na madalali kama mengi na rugemiraHivi hawa wahindi nani anawakaribisha
matapeli wakubwa
kuanzia TRL had IPTL
Watanzania wote hivi sana macho yetu, masikio yetu na akili zetu zipo magogoni jijini Dar es Salaam baada ya bunge kupitisha maazimio ya kuwang'oa kwenye mamlaka waliopo kwenye skendo ya ESCROW.
Kati ya wengi Prof. Muhongo ni mmoja wapo. Kibarua cha Muhongo tunategemea kitaota nyasi very soon.
SWALI, JE? Muhongo ataenda kuuza Juisi? maana watanzania hatuwezi kufanya uwekezaji mkubwa.
Hata kama atauza juisi, je? atauza kufikia level ya AZAM au ataanza kuuza juisi ya miwa BUGURUNI?
By: MZUNGU MZEE
kuna mtu aliwahi kusema kupambana na mengi ni sawa na kupambana na mafuriko...
Anatumia sana media zake lazima awe mshindi zidi ya adui yake
Anatumia sana media zake lazima awe mshindi zidi ya adui yake
Natumaini ulimaanisha gesi!Sasa hapa tulianzishe la bilioni za kwenye gesti, hamna kupumzika hapa ni mchaka mchaka mpaka mnyooke.
Hard Target...Ukiona huwezi kushinda unaufyata. "Do not hunt what you can not kill"
do you think ni nguvu ya media pekee?
wanasema muhongo ni dalali mkuu. hahahah!! mengi kama kawaida yake, nguvu ya media ni hatari.Wakuu
Kama mnaikumbuka vita ya maneno kati ya wadau wawili hao Leo katika kikao cha Bunge mmoja anaonekana mshindi dhidi ya mwingine!
Mengi anaendeleza record ya mnyukano na mawaziri akiwepo Masilingi enzi zile!
Tufuatilie kwa karibu kupitia media za IPP kitajulikana kama kuna mgongo wa wanasiasa hasa kutumika na Mengi kumbwaga Professor!
Nawasilisha.
Mengi alishamdondosha Masilingi,akaja Masha na sasa ni Prof ambae ni muongo kuliko ma prof wote Tanzania,Prof Muhongo!!tatizo wanasiasa ni njaa na tamaha while Mengi ni mtu alie well off na mzalendo