Dr. Reginald Mengi vs Prof. Sospeter Muhongo: Nani ni Dalali?

Hahahaha jamaa hataki utani kabisa

Tatizo Hizo Vxr 8 wakishapanda wanadharau walowakuta mjini,muraaa huyu kaja juzi tu hapa udsm anajifanya anajua jiji,Mengi akamwambia..endeleaaaaaaa!

Sasa atarudi kufug kuku wa mayai kwao KİTUNDA
 
Tatizo Hizo Vxr 8 wakishapanda wanadharau walowakuta mjini,muraaa huyu kaja juzi tu hapa udsm anajifanya anajua jiji,Mengi akamwambia..endeleaaaaaaa!

Sasa atarudi kufug kuku wa mayai kwao KİTUNDA

Hajui mji una wenyewe inabidi awe mpole ona sasa kaingizwa mjini......ASEPE TU
 
jaza nafasi iliachwa wazi
le profeseri Wa madalali tz ? mu............o
(a).hog
(b).ong
(c).hong
 
Dr regnald mengi hy ndio professional yk inafaamika kote barani afrika bila 10 Paseo hajakuelewa
 
No wonder Mengi aliwahi tamka kuwa Muhongo ni MUONGO. Haya mambo huwa yanaanza zamani sana ila kwakuwa tunakuwa hatujafunuliwa
 
Aisee mengi atakuwa mchawi si bure! Yaan ukicheza nae tu unakwenda na maji! ITV DAIMA!
 

Kahusika kwa zababu yeye ndio mkuu wa nishati! hivi jaman muwe makini bas na hii inshu khaa! au mmetumwa?
 
Kahusika kwa zababu yeye ndio mkuu wa nishati! hivi jaman muwe makini bas na hii inshu khaa! au mmetumwa?

Jaribu na wewe kuwa Makini, basi usibebwe na upepo tu
 
Wote madalali tofaut ni kwamba Mengi ni dalali wa kujitegemea bwana Muhongo dalali wa Serikali.
 
Uchafu was muhongo/ haimaanishi eti manji ni msafi. Manji Naye hafai kabisa; tens hutumia vyombi vyake vya habari kuchafua watu. Ebu fatilia data za mengi; utashangaa na kubaki mdomo wazi. Unajua alikua anafanya dili gani kwenye hivyo vitalu?
 
tanesco naona wanamuenzi boss wao kwa kukata umeme sehemu nyingi nchini
 
Pamoja na mengine Mengi ni mnafiki namba 1 hapa Tanzania. Na hata kama Muhongo akijiuzulu ila aliweza kuweka wazi swala la Mengi kutaka kuwa dadali wa vitalu vya Gesi.........sijawai na sitokaa kumwamini Mengi hata kidogo. Ni very opportunistic, mlalamishi as if Tanzania yote yuko yeye peke yake, kila kitu anataka apewe kisa tu ana ela basi apewe priority hata bila kuangalia uhalisia, sheria, utaratibu nk. Ni mchochezi na sijui kwa nini serikali inamchekea chekea, Rais Mkapa alimdhibiti sawasawa, ila kwa hawa wagombea ambayo washajitokeza kwa 2015 karibu wote ni wakali which means Mengi asijejaribu kuleta mchezo wake tena ifikapo 2015.
 
Muhongo yego kutiki?
Ulijua Ndg Mengi ni Mfanya Biashara na dalali wa kujitegemea….
Sasa wewe kwanini ndg yangu ulianza udalali wa serikali tena….?
roho yako ilikushuhudia haya hapakuwa na sababu za kuwashambilia watu… …
 
Hilo la Escrow limeonesha jinsi gan profesa muhongo alivyo dalali.

Inawezekana kwenye vitalu vya gesi ikawa hvyohvyo.
 
Sawa wote muhongo na mengi hakuna alie msafi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…