Dr. Reginald Mengi vs Prof. Sospeter Muhongo: Nani ni Dalali?

Hili la mchanga wa dhahabu alipaswa alielewe fika.
Hata hivyo namsamehe kwani sasa anagundua kuwa yeye yuko sawa ha hao aliokuwa anawadharau kipindi kile.
Mzungu aliyembeba kamwangusha pwaaaaa!
Mkuu Maso, yeye alipoingia hayo mambo aliyakuta!.

Paskali
 
 
ukisikiliza kwenye dkk kuanzia ya pili Wazir alikuwa anaongelea takwimu, takwimu gani? Hizi nadhani alikuwa anamaanisha data ambazo ni zetu na tunazo na ni za bure
 
Mpaka sasa Statoil wanakwambia washatumia over $2bn in exploration alone which is very much gambling maana unaweza kwenda na kukuta ujazo wenyewe not commercial viable. Hivi ingekuwa rahisi kama tunavyodhani Si kila nchi ingefanya yenyewe. Watanzania wanamitaji ya kuwekeza kwenye viwanda vya juice tu.

Wewe Kama umewekeza hela swala oil jua ushatepeliwa tu.
 
Nilikuwa namaanisha kwenye link hii hapa

Takwimu nadhani alimaanisha data ambazo tunazo na ni za bure. Sisi ndiyo tulitakiwa kuwauzia wengine kwa hiyo bei lakin si sisi kuuziana data kwa bei hiyo wakati ni zetu
 

Duh!
 
This was big, I have never seen it before. Ila kwa kuwa naye alifariki sasa naamini kabendera atakuwa huru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…