Dr. Reginald Mengi vs Prof. Sospeter Muhongo: Nani ni Dalali?

Dr. Reginald Mengi vs Prof. Sospeter Muhongo: Nani ni Dalali?

idoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2013
Posts
3,051
Reaction score
1,423
Tumesikia mara kwa mara waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo akimlaumu IPP Chairman, Dr. Reginald Mengi kuwa anang'ang'ania vitalu vya gesi na mafuta kumilikishwa kwa wazawa kwa kuwa ni dalali.

Leo katika report ya PAC bungeni, Prof. Sospeter Muhongo ametajwa kama dalali kwa kuwa ndiye yeye aliyewakutanisha Harbinder Sigh Seth na James Rugemalira katika dili ya Tanesco. Dr. Mengi atasema nini kuhusu yaliyotokea?
images
images

😀😀😀😀😀😀patachimbika
 
Muhongo ni muongo.... Kweli jina lake zuri sana
 
Hakuna game Mengi amepata kupoteza Vs kiongozi wa serikali.

- masilingi
- malima
- masha
- polisi
- now muhongo
mengi ni master. usifanye mchezo na mtu mwenye media, ana nguvu kuliko. rostam aziz alijitahidi kujibishana naye akashindwa ikabidi 'aachane na siasa uchwara'. media is the power kwa kweli!! wote walioshindana na mengi imekula kwao, muhongo ndo huyoooo zinahesabika!
 
Tumesikia mara kwa mara waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo akimlaumu IPP Chairman, Dr. Reginald Mengi kuwa anang'ang'ania vitalu vya gesi na mafuta kumilikishwa kwa wazawa kwa kuwa ni dalali. Leo katika report ya PAC bungeni, Prof. Sospeter Muhongo ametajwa kama dalali kwa kuwa ndiye yeye aliyewakutanisha Harbinder Sigh Seth na James Rugemalira katika dili ya Tanesco. Dr. Mengi atasema nini kuhusu yaliyotokea?
images
images

Wahenga waliwahi kunena kuwa unaweza kumdanganya mtu mmoja kwa wakati mmoja, lakini ni vigumu kuwadanganya watu wote kwa wakati wote....ulafi wa kupindukia na wa bila soni umewaponza na utawahukumu.
 
Wahenga waliwahi kunena kuwa unaweza kumdanganya mtu mmoja kwa wakati mmoja, lakini ni vigumu kuwadanganya watu wote kwa wakati wote....ulafi wa kupindukia na wa bila soni umewaponza na utawahukumu.
nikikumbuka kauli za muhongo dhidi ya wa-tz siamini kama leo hii ni yeye amechafuka hivyo. eti mitaji ya watanzania ni ya kuwekeza kwenye matunda na juice. alijaa dharau kupitiliza mpaka akataka kutoa CV ya ole sendeka kwamba ana elimu ndogo kushinda yeye msomi!
 
Tumesikia mara kwa mara waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo akimlaumu IPP Chairman, Dr. Reginald Mengi kuwa anang'ang'ania vitalu vya gesi na mafuta kumilikishwa kwa wazawa kwa kuwa ni dalali. Leo katika report ya PAC bungeni, Prof. Sospeter Muhongo ametajwa kama dalali kwa kuwa ndiye yeye aliyewakutanisha Harbinder Sigh Seth na James Rugemalira katika dili ya Tanesco. Dr. Mengi atasema nini kuhusu yaliyotokea?
images
images

Prof Muhongo yuko kwenye vita kali ya Triangle ya Zitto, Mkono and Mengi, iko siku utapandishwa uzi wa hiyo Triangle
 
Last edited by a moderator:
Yani inaonekana ushabiki umekufanya hata kufatilia mwisho wa mambo ulikuaje huna ni hivi kesi ya manji na mengi manji alishinda na manji alihojiwa alipaswa alipwe na mengi manji alipoulizwa akasema mengi amlipe (sumni) sijui unaijua hiyo hela au umezaliwa tu ukamjua mengi na kumsifia tu usilete habari za kishabiki kama hujui mambo sasa jiulize kwa kiasi icho alichodai manji alipwe na mengi alikuwa anamaanisha nini.
umesahau manji a.k.a tajiri wa yanga...alidondokea pua...
 
mengi ni master. usifanye mchezo na mtu mwenye media, ana nguvu kuliko. rostam aziz alijitahidi kujibishana naye akashindwa ikabidi 'aachane na siasa uchwara'. media is the power kwa kweli!! wote walioshindana na mengi imekula kwao, muhongo ndo huyoooo zinahesabika!

Akalime jela
 
Back
Top Bottom