Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,229
Dr.Dau alipoanza ku-qoute maneno kutoka kwenye msahafu nilitambua lengo lake papo hapo!
Kiongozi wa UMMA ukishajikita kwenye udini, jamii inakutapika! Mbaya zaidi watetezi wake hapa JF ndio wale wale magwiji wa kupandikiza chuki za kidini. Kama wewe na mwezio Ritz
Mchunguzi,Message kama hii ni ya ushabiki. Sijui mwandishi anashabikia nini lakini sioni kuunguruma kokote. Huyo Dau anazungumza akishukuru tu na ni kama dk 4. Badala ya kuandika ya maana yaliyozungumzwa ktk ufunguzi mtu mzima anaandika, Dau kaunguruma. Wapi alipounguruma?
Huu ni ushabiki uliostahili kufanywa na dunia kwa watu kama Einstein. Leo hii tunashabikia mkurugenzi aliyeondolewa, ili iweje?
Udini wake ni upi?fafanuaIla huyu mzee yupo simpo sana kimuonekano na hata kwa kuzungumza! Tatizo lake ni udini.
Mmoja wao hakuifanyia kazi.
Safi sana: la Mkapa tayari tunalo kule Lindi, la Kikwete liko kule Maragarasi na la Magufuli tunalisubiri huko Kigongo.Magufuli kashauri hilo daraja liite "DARAJA LA NYERERE"
Hapo sasa!
hela zilizojenga hilo daraja zilitoka mifukoni mwa dau au ni michango ya wastaafu wa NSSF wanaokosa mafao pindi wakistaafu?Hongera Dr Dau kwa kuwa miongoni mwa waliofanikisha ujenzi wa daraja hili adhimu...." Daraja la dau"
Nimegundua ukiwa extreme sana kwy haya mambo ya dini hata akili yako inadumaa kbs na kila kitu unaanza kukiangalia kwa mtazamo huo....mwisho hata ukijifumania mkeo na aliyevaa kanzu na barghashia utasema mwacheni!Mchunguzi,
Nakuomba kwa hisani yako hebu soma hii labda utaelewa
nini nilichokusudia:
Mohamed Said: Nyerere Alipounguruma Umoja wa Mataifa, New York 1955
Mzee Sitta alijenga lile la Selander mwaka 1981 tena kwa pesa zake mwenyewe.......
Dr Dau hajafungua daraja, hata wasemaji wote waliomtangulia JPM hawakutambua uwepo wake katika zile protokali. Endeleeni kujifariji, ila darala limepewa jina la mkatoliki Julius Nyerere
Nisuala la kusubiri.muda utaongea .kama ni kweli ekari moja imenunuliwa kwa bilioni 1 na mia 8 milioni Arusha.maana Arusha ataa leo ekari moja mahali gali kabisa ni sh 24 milioni.
Hata watoto wa kizungu wana ongea Kiingereza,Kwa hiyo?Franco Zetta,
Huwezi kujua Dau ana hisani na watu wangapi katika mji huu
mimi nikiwa mmojawapo na ni rafiki na ndugu yangu wa miaka
mingi.
Sasa nakupa nyingine.
Dr. Dau ni bingwa wa kuzungumza Kiingereza.
Rudi tena nikupe nyingine.
Mussa Allan,Dr.Dau alipoanza ku-qoute maneno kutoka kwenye msahafu nilitambua lengo lake papo hapo!
Kiongozi wa UMMA ukishajikita kwenye udini, jamii inakutapika! Mbaya zaidi watetezi wake hapa JF ndio wale wale magwiji wa kupandikiza chuki za kidini. Kama wewe na mwezio Ritz
Franco Zetta,Hata watoto wa kizungu wana ongea Kiingereza,Kwa hiyo?
Ni wawili tu wametafiti, andika na kutetea phd zao.Yupi huyo Mkuu..
Mbona wote Wamefanya kazi kwa Uweledi uliotukuka..
Hawana shukrani kivipi ?Pangechimbika ila bado nakumbuka operesheni tokomeza kitimoto kipindi kile cha mzee ruksa though nilikua mdogo lakini jamani ilikua shida. Ndugu zetu hawana shukrani
Labda nikuulize Muungwana sana, ukidhani haya yote mimi yani saidie nini? Mbona ni kama huko katika utimamu wako nini hasa kime kusibu,nionavyo mimi uliweka sana utegemezi kwa huyo mhisani wako kwanini usi fikirie sasa kurudi shamba kama hali ni hii una lalama una mpamba,na kwa mwelekeo huu ukieleza kuwa alikua rafiki yako nashangazwa na aina ya marafiki alio kuwa nao kaa tuliza kichwa ujifunze kumtumaini mola wako na si Binadamu,pole sana ndio kilimwengu.Franco Zetta,
Waingereza wangesema ''you are missing'' the point.
Dr. Dau ana ''photographic memory.''
Hii kanihadithia TPA Baord Member mmoja zaidi ya miaka
20 sasa.
Dr. Dau alikuwa anaulizwa maswali na Board na members
wana makabrasha wanasoma.
Ikawa Dau anataja tarehe ya barua kisha anaisoma yote
ghibu, yaani ''off head.''
Kafanya hivi mara kadhaa.
Wale Board Members wakapigwa na mshangao.
Basi yule sahib wangu hakuweza kustahamili usiku kanitafuta
na kunipa mkasa ule.
Rejea tena nikupe nyingine.
Franco Zetta,Labda nikuulize Muungwana sana, ukidhani haya yote mimi yani saidie nini? Mbona ni kama huko katika utimamu wako nini hasa kime kusibu,nionavyo mimi uliweka sana utegemezi kwa huyo mhisani wako kwanini usi fikirie sasa kurudi shamba kama hali ni hii una lalama una mpamba,na kwa mwelekeo huu ukieleza kuwa alikua rafiki yako nashangazwa na aina ya marafiki alio kuwa nao kaa tuliza kichwa ujifunze kumtumaini mola wako na si Binadamu,pole sana ndio kilimwengu.
Nami naona DAU limewekwa ili daraja liitwe RamaDau....Magufuli kashauri hilo daraja liite "DARAJA LA NYERERE"
Hapo sasa!