Dr. Ndodi ni mtu wa Maslahi zaidi au Tapeli?

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
Naangalia TBC- 1 Dr. Issac Ndodi huyu mtaalamu wa tiba mbadala.amefikia kuanza kutangaza matangazo ya biashara akipromoti unga wa Energy Mills Ltd..Maswali mengi hayana majibu..huyu jamaaa wasifu wake ni msanii?

DR%2Bisaac%2BNdodi%2B.jpg
 
Anajulikana kama Dr ila kuhusu huo unga nadhani alichokosea ni kuponda aina nyingine. Mkuu vuta subra kidogo wanaomjua vizuri kuhusu Udokta wake watakuja,kutufahamisha vzr.
 
Dah!mie huwa cmweli kbs maana anaongea mambo mengi kwa wakati mmoja mpaka anasahau topic husika yan dah!
 
aliwahi kukataza kunywa maji baada ya kula.. Eti anadai unapofanya hivyo,unafanya chakula kichache tumboni!

Akashauri maji yanywewe baada ya nusu saa kupita baada ya kula!
 
Huyu jamaa bana,nilishawahi kumckia akisema eti binadam hatuna akili tunashindwa na panya wanakula mahindi ambayo hayajakobolewa yenye virutubisho vyote na sie kujali kula sembe na makande ambayo hayana virutubisho ndio maana wagonjwa wa sukari na vidonda vya tumbo wameongezeka!
 
Kuna kipindi (last year kama sikosei), alikuwa na mkutano wake pale kurasini, mama yangu.......si madongo hayo alokuwa akiyatoa!!! Huyu baba kwa kuongea tu, hajambo aisee!
 
aliwahi kukataza kunywa maji baada ya kula.. Eti anadai unapofanya hivyo,unafanya chakula kichache tumboni!

Akashauri maji yanywewe baada ya nusu saa kupita baada ya kula!

Mafundisho ya Dr. Ndodi ni ya ukweli kabisa na wala hadanganyi. Tofauti kati ya yake na madokta wa kawaida ni kwamba yeye anatumia miti shamba kwa kutibu maradhi mbali mbali wakati madokta wengine wanatumia vidonge na masindano
 
Huyu jamaa bana,nilishawahi kumckia akisema eti binadam hatuna akili tunashindwa na panya wanakula mahindi ambayo hayajakobolewa yenye virutubisho vyote na sie kujali kula sembe na makande ambayo hayana virutubisho ndio maana wagonjwa wa sukari na vidonda vya tumbo wameongezeka!

Hayo maelezo yake ni ya kweli kabisa wala hadanganyi na kama huamini fanya majaribio mwenyewe
 
Mie wala cmwamin huyu mtu namwona km makeke yote yale ni ktk utafutaji tu km wengine!hawezi kufananisha akili ya binadam na ya panya bwana!
 
Hivi panya hawana vidonda vya tumbo eh? Ama kwa vile hajawahi kuwaona wakipanga foleni kwake kutibiwa?
Huyu jamaa bana,nilishawahi kumckia akisema eti binadam hatuna akili tunashindwa na panya wanakula mahindi ambayo hayajakobolewa yenye virutubisho vyote na sie kujali kula sembe na makande ambayo hayana virutubisho ndio maana wagonjwa wa sukari na vidonda vya tumbo wameongezeka!
 
Hivi panya hawana vidonda vya tumbo eh? Ama kwa vile hajawahi kuwaona wakipanga foleni kwake kutibiwa?

Ndio maana huwa nikikuta kipindi chake nabadili chanel tu maana huwa cmwelewi sera zake kbs!namwona mtafutaji tu!
 
aliwahi kukataza kunywa maji baada ya kula.. Eti anadai unapofanya hivyo,unafanya chakula kichache tumboni!

Akashauri maji yanywewe baada ya nusu saa kupita baada ya kula!

sio chakula kuchacha ni utatengeneza gesi nyingi na mwisho wake ni kuachia maushuzi kwa kwenda mbele . Lakini hi ni kweli .
 
Back
Top Bottom