Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,590
- 8,724
Si wewe Ng'wanangwa wa kwanza kupinga unazoziita nadharia za kiarabu! Walikuwepo watu walijiita Baba wa Ujinga (Abu Jahali) waliopinga kwa vitendo lakini angalia ulivokuwa mwisho wao!
ALLAH akuongoze na akuepushe na shaytwan na shirki zake.
Hapo necta hata akiwekwa Malaika watu wataendelea kufeli tu. Wenyewe mmekubali kuwa Uislam/Akhera kwanza then ndo mambo mengine baadaye. Necta ingekuwa inashughulika na mambo ya akhera tu , mngefaulu vizuri sana...poleni.
Tatizo the way mnavoidefine dini kwa kuihusisha ni part tu ya maisha, NO!
Ni kila unachofanya, even uchumi nao unaingia ktk dini mkuu. Sina haja ya kuanza kushuka nondo hapa the way uislam unavozungumzia namna ya kutokomeza umaskini ktk jamii...mifumo halali ya kisiasa, sheria, Kanuni na Taratibu za kila ukifanyacho.
Lengo la kuumbwa kwako ni kumtumikia aliyekuumba na kuishi atakavyo kila sekunde unayovuta pumzi, nna imani hukatai yupo aliyekuumba achilia mbali slogan kwmba dini tumeletewa kutupumbaza.
Nawashangaa wanavyojifanya wanaipenda na kuijua elimu wakati Muddy mwenyewe alikuwa hajui kusoma wala kuandika, Kwani kufeli na kutoelewa kwa waislamu kunasababishwa na Ndalichako?. Historia pia inaonyesha kuwa elimu sio priority kwa hawa jamaa, priority ni kupiga dufu na kuchapa mpunga madrasat.
kosa la Ndalichako ni kuwa KAFIR, kwani mpango wetu ni kuhakikisha nafasi zote muhimu ndani ya nchi zinashikwa na watu wa DINI YETU!Tukimaliza Ndalichako tutamfuatilia mtoto wa mkulima kwani ndio pekee anatia kiwingu pale juu! nyinyi endeleeni kulala sisi tupo kazini mpaka kieleweke!
Bado nchi kama ya Iran ambayo ni ya kiislam pure, haijaendelea, na huku inafanya kila kitu uislamu na maisha ya watu yako taabani! Watch out!
nadhani akipndoka pinda mfumo kristo utakuwa umeendoka kwani kwa safu ya sana ya uongozi wa juu waislamu ni 98% na wakristo ni 2%.......
Huo mtihani wa dini iwe Christianity au Islamic ...hauna faida ..sana hautupatii madaktari,wala maengineer.....nashanngaa kwa nini watu wannabeba Bango namna hiyo
unafahamu maana ya mtihani wewe.Mtihani ni mtihani tu hata ukiwa ni wa cookery.Ndalichako anatakiwa kuondoka NECTA.
Kama Iran Ipo Taaban kiuchumi Mbona USA aniogopa anaionea wivu.
Au ndo propaganda tukuone na wewe unasema ukweli?
Iran maisha yako safi kama ilivyokuwa Libya zaman.
Ukiniambia Iran na Tanzania unataka kuishi wapi ntakwambia Iran.
Ili kuondoa mzizi wa fitini hii mitihani isahihishwe nje ya nchi ili kuondoa mzizi wa fitini huku yawe yanakuja majibu tu tena kwa namba na si majina halafu tutajua tatizo liko wapi? Kama hili litatekelezeka maaskofu nina uhakika watachukia kama wanavyoichukia UDOM.
Kumuondoa Uyu mama ni sawa na suluhisho la kuungoa mti kwa kuprune matawi badala ya mizizi
Ata shekhe mkuu ndo awe top wa necta hakuna mabadiliko we know mumeinvest kwenye madrasa na misikiti badala ya kwenye elimu nazani ata Mwinyi aliwai waambia ilo