Dr. Nchimbi na urais 2015

Mwaka huu ukija kuisha wengi mtakuwa Mirembe,sasa eti naye Nchimbi ana timu ya kusaka uraisi alafu anamtuma huyu ----
amsemee aone JF ina maoni gani. Mwambie hauziki na lile jimbo la Songea Prof.J ndo atakalogombea kwa hiyo atakuwa raia wa kawaida
siasa ya Songea ina wenyewe. Muulize Mwanasheria Mbogolo
 
Mwaka huu ukija kuisha wengi mtakuwa Mirembe,sasa eti naye Nchimbi ana timu ya kusaka uraisi alafu anamtuma huyu ----
amsemee aone JF ina maoni gani. Mwambie hauziki na lile jimbo la Songea Prof.J ndo atakalogombea kwa hiyo atakuwa raia wa kawaida
Tukutane hapa hapa kwenye uzi huu November, 2015. Take heed!
 
Mkuu Omu, hii ndio naiona leo!, KUMBE ILE TETESI INAWEZA KUWA KWELI!.

Pasco.
 
Tukiwa chuoni,mwaka 2012 kijana mmoja kutoka Songea aliwahi kusema kuwa Nchimbi nae anautaka, Wengi tulichukulia kawaida lakini sasa naanza kuona jamaa anaweza kupenya. nakupeperusha bendera ya CCM mwaka huu.Tafadhali kama kuna mtu amamfahamu vizuri huyu jamaa hebu atujuze.



 

Attachments

  • nchimbi3.JPG
    27.6 KB · Views: 3,729
  • nchimbi2.JPG
    38.3 KB · Views: 3,827
  • nchimbi1.JPG
    50.8 KB · Views: 3,676
  • nchimbi4.JPG
    47.7 KB · Views: 3,660
Ha ha ha ha!Nchi hii full comedy....Eti Nchimbi awe President, For which trackrecords? CCM is stooping so low!
 
Let me tell you my friend, there is only two people who have what it takes to preside this once was a beautiful nation;Dr John Maghufuli and Dr Wilbrod Slaa.My third favourite was Dr Salim Ahmed Salim but the time is ticking against him now.
 
Kitu cha kipekee ambacho anacho Mjanja Nchimbi ni kuwa CCM damu.
 
His excellency president Dr Emmanuel nchimbi. Watu Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa..
 
Mkuu umelewa siyo bure utakuwa umelewa tena pombe kali kweli.
 
Mpenda vident....nchi hii full comedy akuna maadili hapo hata kidogo na afai
 
acha kupoteza muda ndugu, huyo jamaa hawazi uraisi, ana kazi zake, fuatilia.
 
Mamaaaaaa aaah!
Ngoja nipite tu, ila unamaanisha Nchimbi huyu wa kwenye picha hapo juu??????
 
kweli CCM wameishiwa mtu ambaye kata zake zote za mjini zinawakilishwa na MADIWANI CHAMA CHA UPINZANI na mitaa yote imejaa vyama vya upinzani anaweza shawishi taifa?

Songea mjini ( ambako ccm walikuwa wanafanyisha watoto gwaride)
Mfaranyaki
Lizaboni
Majengo
Bombambili
Mateka
Luhuwiko
 
Wewe mtu wa tatu kusikia likisemwa hili.
Kama nawaona ukawa vile.....
 
Kama Ubunge anapumulia mashine sasa hivi, vipi huo wa Bendera ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…