Dr. Nchimbi na urais 2015

amina bado mnasema kauliwa ...... na mume wake?
'
kuna usemi kuwa kila kifo cha sisi waswahili hakikosi sababu!!
 
Tunajua Bw. Nchimbi ana haki yake ya msingi ya kugombea nafasi yoyote nchini na kupigiwa kura. Lakini mmh kwenye hili la Urais kweli anahitaji kuwa serious kidogo. Ikulu walishazoea mafyoso tu kama wanavyopata hizo Ph.D za mafyoso. Ndo maana anaona ni rahisi kuwa na mawazo kama hayo ya kugombea urais wa JMT. Sasa kama elimu tu kapiga mafyoso, yaliyobaki yatakuwaje??
 
amina bado mnasema kauliwa ...... na mume wake?
'
kuna usemi kuwa kila kifo cha sisi waswahili hakikosi sababu!!

Alihusika kwenye kupewa Amina Taraka kutoka kwa Mume wake.
Ndo msichana akaanza kuchanganyikiwa n.k
 
Naomba Mungu atuepushie hizi balaa nyingine. Kuongoza nchi kwa mbali inaonekana ni kitu rahisi.Yanayotokea sasa yanaonyesha wazi kuwa kukimbilia tu kuwa rais haitoshi kama huna uwezo wa delivering
 

Kusema kweli habari hizi mimi binafsi sijazichukulia serious hata kidogo. Kama mkifuatilia kwa makini habari (headline news ) za Tanzania Daima Jumapili huwa ni za kubuni buni (speculative) hivi. Ni mara chake Tanzania Daima Jumapili kuwa na headline news ambazo zinahusu matukio halisi (factual news). Nadhani editorial policy ya TZ Daima Jumapili inalenga zaidi katika uchambuzi wa siasa (analysis) ndio maana headline news karibu zote (Jumapili) zinajikita katika kuchambua aidha serikali ya JK au CCM.

Ukisoma uchambuzi huu (reading between the lines) kwa makini utagundua kwamba habari hizi ni za hisia ya mwandishi mmoja ambaye hajafanya utafiti wa kina ila anajaribu kunukuu vyanzo vya habari ambavyo kusema kweli havipo! Ni mapema mno kujua nani atagombea Urais CCM 2015 kwa vile wote tunajua kwamba uchaguzi wa Urais ndani ya CCM 2010 ni dhahiri (foregone conclusion) hasa baada ya EL kuweka msimamo wake wazi.

Kwa mfano kuna utafiti gani katika kusema Lowasa, Mwandosya, Sumaye wanategemewa kuchukua fomu 2015? Kwa nini hasiwemo Kigoda? Au nini jipya katika kusema Membe na Dr. Gama nao wanaunyemela Urais 2015? Ni dhahiri hawa wametajwa na Mwandishi kwa vile walikuwa vinara wa mtandao 2015. Mimi binafsi aniingii akilini kwamba 2015 Pombe Magufuli atakaa pembeni katika kinyanganyiro cha Urais ndani ya CCM ndio maana alikuwa mtu wa kwanza kushambuliwa na Gazeti la Rai mwanzoni wa utawala wa awamu ya nne. Hakufungua kinywa hata kidogo. Si bure.
 
jamani acheni mzaha,huyu nchimbi asije akafikiri naye ni mmoja wa wale wanaoweza kushika uraisi...abaki kule kule kwenye ukada wake na PHd yake fake na kazi yake ya kuiba kura ili mafisadi washinde,Ikulu hatumtaki na hatopata!
 
jamani acheni mzaha,huyu nchimbi asije akafikiri naye ni mmoja wa wale wanaoweza kushika uraisi...abaki kule kule kwenye ukada wake na PHd yake fake na kazi yake ya kuiba kura ili mafisadi washinde,Ikulu hatumtaki na hatopata!

Tell him,tell him!!
 
siamini kama kweli lowasa anaushawishi kama mwandishi anavyosema.......ila ni mkurupukaji tu na mpenda sifa na hafai kuwa katika uongozi kama kweli watz mnamuenzi mwalimu nyere
 
Wana JF kwa nini kujadii Urais 2015 kama vile 2010 hakuna uchaguzi au kuna mtu tayari kesha shinda huo uchaguzi?
Nawahakikishia taswira wengi waliyonayo ya 2015 itabadilika baada ya uchaguzi wa mwaka 2010. Uchaguzi ujao majeraha yatakayoipata CCM ndiyo yatakayotoa picha ya 2015 na msambaratiko wa Lichama kongwe kabisa.
Mwakani hata kama CCM ni wezi wazoefu wa kura, hali ni tofauti na siku za nyuma na hawataweza kutawanyika nchi nzima na kufanya hujuma kila mahali kama awali.
 
urais ni hot cake.....na tunakoelekea watatoana majicho........yetu macho ila tunaomba zisimwagwe pesa chafu..............
 
Nonono!!!! hiyo post aliyonayo sasa sijui kwanini watu hawamwambii jamaa amtoe tu hapo mara moja.upuuzi mtupu!

Muungwana hana ubavu wa kumtoa Nchimbi hapo alipo kwasababu ni mtu wake wa karibu sana na siri zake za ndani anazijua!! Masangoma wote wa mkwere yeye ndio hubeba mikoba kwahiyo kumtema si rahisi bali ngojeni msikie akipandishwa cheo na kupewa wizara yake!! Hii ndio DANGANYIKA na ukweli ndio huo!!
 
Naomba kuuliza swali. Hivi Nchimbi kafanya kosa gani au ufisadi gani hadi akose kuwa na sifa za kuwa rais?
 
Naomba kuuliza swali. Hivi Nchimbi kafanya kosa gani au ufisadi gani hadi akose kuwa na sifa za kuwa rais?

Alidanganya elimu yake ya PhD,kama ingekuwa nchi yenye kufuata sheria sasa hivi Nchimbi angekuwa anapumzika huko Ukonga;Rejea kwenye tovuti ya Bunge uone madudu aliyoyaweka huko kuelezea elimu yake!

Je hilo tu halitoshi kumfanya jamaa huyu awe disqualified MgonjwawaUkimwi?
 

Hii nyuuzi inatisha!
 

Malafyale, point nzito na nimekuelewa. Sasa yeye kadanganya elimu bila kuliibia taifa na anashambuliwa kiasi hiki, je wezi watukutu kama EL, RA, V-g-chenji, na wengine wote waliosababisha umasikini wetu mbona hawashambuliwi kiasi hiki?
 

Good! we can tolarate so many things but when it comes to education we are serious men! He better opts other things than this one!
 
Wanabodi,

Nimetafakari kidogo bila majibu kwa nini Serikali, baadhi ya Usalama wa Taifa na baadhi ya Wakuu ndani ya CCM wanakuwa wanafiki kiasi hiki juu ya wagombea watarajiwa ambao tayari wamepanga timu zao za maandalizi.

Kwa walio karibu na "corridor of power" hakuna asiyejua state inavyomuandaa John Emmanuel Nchimbi kama mteule mpya wa Mkuu wa Kaya kumrithi pale Magogoni. Mipango yake na harakati zote zinaratibiwa na State. Lowassa anajua, Pinda anajua, Membe anajua na wengine tumepata kujua. Sasa kwa nini kila kukicha wapambe wameng'ang'ana na Lowassa tu kama vile wengine hawafanyi?

Binafsi simaini kama kuna mtu anatarajia kufanikisha jambo lolote maishani bila maandalizi, mikakati na jitihada. Hawa wanaowaandaliawengine ufalme kwa nini hawataki kuona wala kusikia wengine wenye Uwezo wa kujiandalia wakifanya hivyo? Miujiza huonekana kama vitu vitokeavyo bila kutarajiwa lakini nayo ili mtu imtokee lazima afanye maandalizi i.e kutubu, kujitakasa, na kusali kwa imani. Kwa nini hawa "wenye mteule wao mfukoni" hawataki kusikia wenye uwezo wakijiandaa?

Kuanzia sasa nami natangaza kujiunga na timu Lowassa ili nikajue kwa nini anahofiwa kuliko wengine wote.
 
Mwaka huu ukija kuisha wengi mtakuwa Mirembe,sasa eti naye Nchimbi ana timu ya kusaka uraisi alafu anamtuma huyu ----
amsemee aone JF ina maoni gani. Mwambie hauziki na lile jimbo la Songea Prof.J ndo atakalogombea kwa hiyo atakuwa raia wa kawaida
 
Usishangae sana. Ngoma ikivuma sana mwishowe hupasuka. Hata hawa wanaovuma sasa soon watapotea na kuibuka wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…