Dr mwingine atekwa Mbeya

Mkuu Pombekali, chunga sana kauli zako, wapi kuna ushahidi wa kauli yako? Ipo wapi busara ya watanzania?

Hujaskia wanavyojikanyaga!? wapi Abduel,wapi Msangi, tufike mahali huu ukondoo wa kijinga tuuache,. Busara sio kufunika kombe,bali ni kuchukua hatua stahiki katika wakati muafaka,mkuu katika hili naamini niko sahihi though it might not appeal to your attitude over the ongoing matters!
 
Last edited by a moderator:

Mod kuna haja kuanzisha jukwaa la tetesi,maana mleta hoja nae haeleweki.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom