Asante kwa elimu,mkuu, ila naomba kuuliza kama nikipeleka hii kama evidence kwa ofisi ya bunge kuwa mbunge Zitto Kabwe alikuwa yuko online wakati wa kikao cha bunge, sheria itaonyesha kuwa niko sahihi hayo yote uliyosema ni theoretical, ila computer imeonyesha he was logged on and that is what counts... so what my point is ni kuwa tukianza kujaribu kufuatilia every little issue kwa mbunge kuna mambo mengi tunaweza kupata as misdemeanour etc, akiwemo mheshimiwa huyu mnayemtetea sana.
Valid point, mkuu, I was trying to show how politically at risk mbunge can be, na mtu akiamua kumzushia ni jambo rahisi, au ku-fanya mountain out of a mole hill. Zitto (or whoever it is he claims to be) should not be self righteous akisema eti ye msafi blahblah, maana what you say is one thing lakini kuzushiwa na kuchafuliwa ni rahisi, na pia half baked truths are very dangerous and can easily be twisted to be true. (Also proving that Zito is who he is, ni rahisi, unacheki kompyuta au lapto yake you will find sufficient trail leading him here. So it is not as difficult as you think.... )Kwani hawezi kuwa logged on bila ya kuwa mbele ya computer yake? Au kuwa logged on kwenye simu? What are you trying to prove here?
If you are trying to prove mbunge hashughulikii shughuli zake za bunge kwa wakati fulani utahitaji zaidi ya haya mambo ya mtandao, kwanza huna hata uhakika kwamba huyu anayeingia hapa kwa jina la Zitto ndiye Zitto mwenyewe, can you prove that?
Kyala,PASCO,
Dr. Harrison Mwakyembe atakamwatwa kwa kukaidi summons ya PCCB na sio kwa matamshi yake. Yale matamshi ilikuwa kujitetea tu zaidi aliwapiga chenga ya mwili PCCB walipomtokea.
Hawa Waheshimiwa wanajifanya wapiga kelele ufisadi kumbe wao hwajapata mahali pa kufisadi. Pesa za watu masiki anasema ni vitu vidogo.
Aliye na kinga ya kutohojiwa na PCCB ni Rais peke yake lkn sio mtu awaye yeyote yule. Hizi sheria wao ndio walizipitsha na nashangaa sasa hivi wanaruka kimanga, walikuwa hawajui kusoma?
Kanikumbusha Bwana Vijisenti Cehnge.
Tukukuru wangeanza kumchunguza Rais Kikwete kwanza...!! Kama wakiona yupo safi wachunguze Mawaziri Kisha wabunge na wamalize kwa wananchi wa kawaidi..! Haka kamchezo kakuanzia katikati kanatoka wapi wakati Shaka na mnuko wa posho posho upo tokea kwa Rais ? Watuchambulie Rais analitwa mshahara kiasi gani na Posho anayopata kwa kila ziara afanyayo..na vile vile watueleze ni kwanini anafanya ziara mara kwa mara ,,kwasababu kama itagundulika anapata posho kwa safari za kitaifa na kimataifa na ikawa anajipangia safari hizo mara kwa mara basi nayo tutaiita rushwa..Kwani zipo safari ambazo zingeweza kufanywa na viongozi wa kawaida wa nchi na si rais.
Mkuu umemaliza mjadala.. sheria ni sheria haiwezi pindishwa kwa matakwa ya watu.Kyala,
Mwakyembe hajakaidi summons. Alipigiwa simu. Unless siku hizi simu ni summons.
mzee umeishiwa sera sasa umeanza kushabikia hata upuuzi. Kweli wajinga ndio waliwao kwa kupenda kula
Mimi nilisema siku nyingi Mwakyembe naye Mzugaji tu. Ingawa mimi si mshabiki wa Lowassa, alipomshadadia Lowassa bila kumpa fursa ya kujieleza katika kamati yake nikamuona mtu mmoja asiye fair na mwenye ploitical machinations.
Hizo habari za "kulinda heshima ya serikali" alimaanisha kumlinda rais Kikwete ambaye naye anahusika kwenye Richmond, ndiyo maana Kikwete naye hawezi kumuwajibisha mtu.
To make matters worse huyo Hosea naye ananuka tu, tabu tupu, hatuna hata pa kujibanza.
Tutasikia nyimbo nyingi tu, lakini hakuna matendo.
1. Mbunge wa kyela Dr. Arison Mwakyembe amekataa kuhojiwa na TAKUKURU kama baadhi ya wabuge wengine walivyo ojiwa na taasisi hiyo,
2. Mwakiyembe amesema, TAKUKURU anawapigia simu wabunge (Mmoja mmoja) na
3. kuwaoji kwa takriban masaa hadi matatu kinyume na sheria kwani maojiano hayo hayawekwi kwenye maandishi.
Source Nipashe/ITV