Dr. Mwakyembe: Sikumhoji Lowassa kwa sababu ushahidi dhidi yake ulikuwa unajitosheleza!

Naona unamatatizo,labda ni Tanzania ya vi-wonder maana watu wenyewe type ya akina Bashite wazee wa kuzungusha
17882885_1766594477003996_457021315279224832_n.jpg
 
Richmond na suala la Makonda wapi na wapi,Nassari kachemka aibue na ya EPA ila suala la Makonda halina uzito na halituhusu watu wa mikoani akiwemo yeye Nassari.

Richmond janga la Taifa, Makonda msala wa Dar.

Pesa za mshahara Na marupurupu mengine ukiwemo ulinzi,matibabu n.k Siyo vya taifa?
 
Ameshindwa kumnyoa akiwa waziri wa sheria na katiba, atamuweza leo akiwa waziri wa wasanii? Kweli nchi imepakatwa na wasanii zaidi this time!
Kipindi kile alimnyoa akiwa waziri wa wizara gani vile???
 
Richmond na suala la Makonda wapi na wapi,Nassari kachemka aibue na ya EPA ila suala la Makonda halina uzito na halituhusu watu wa mikoani akiwemo yeye Nassari.

Richmond janga la Taifa, Makonda msala wa Dar.
Bashite kapata mtetezi. Tanganyika hamsongi mbele kiwa kun a watu wa aina hii wenye mawazo mgando. 3+2=5 lakini 2+3= sio tano. Amka jinai ni jinai tu haina mkoa wala Taifa.
 
Mnamtetea fisadi? Chadema mnajiabisha sana!!! Mnsonyesha kana kwamba hamnazo!!! Dr slaa na mwanasheria nguli waliandika list of shame na jina LA lowassa lilikuwemo!! Ina maana hamkutumia akili kiandika??? Au chama chenu ni chs majungu ??? Aiseeeee!!! Au mnatumiaga bangi kufikiri
 
Kwa majibu ya Dr. Mwakyembe siamini kama Lowassa au CHADEMA au Nassari wana ubavu wa kuirudisha ripoti ya Richmond ijadiliwe upya bungeni!
 
Kama hiki anachokizungumza Mwakyembe ndicho kilichopo kwenye taratibu za bunge! Hakika nasema hakuna haja ya kuwa na mahakama na pia serikali isilaumu watu wanapojichukulia hatua huko mitaani kwasababu hata huko mitaani Kuna vibaka huwa wanapatikana na hatia za wizi wa moja kwa moja kwahiyo kifo ni halali yao.

Kama kweli watanzania tuna aina ya wasomi kama huyu basi tumekwisha.

Mwakyembe hafai kuishi katika nchi inayofuata utawala wa sheria kama Tanzania.
Mwakyembe(Mmalawi) anatafsiri kiCHICHEWA kuja kiswahili!Huyu ni Bashite mwingine mind you! Tunakumbuka alivyoikana thesis yake juu ya serikali tatu!!?? Dr tumbo mwake huyu
 
Nasari anadanganya vilaza wenzake? Swala la Makonda na Lowasa halifanani kabisa. Bunge liliipa kazi tume ya mwakyembe ikiwa na hadidu rejea zake lkn haikulazimisha kila mtuhumiwa ahojiwe. Halafu ni vyema nyinyi ndumilakuwili mkumbuke kuwa ndio mliokaza ili lLowasa achomolewe akiwepo Dr. Slaa.
Hivyi, msidanganye watu. Someni mapendekezo ya ile tume ndio mtajua kuwa kujiuzulu ndio ilikua option salama kwake.
 
Back
Top Bottom