Aleleuyah !!!!
Onyo:
Mkiuua Mmoja wapo hakika Tanzania patachimbika!
Watanzania tumefunguka, kamwe hatutokaa kimya kama zamani!
Panga la Yesu hebu slash hawa watu waliohusika na hii arrangement. Kuanzia dereva, polisi, mganga, RA, EL, JK nk.
Aleleuyah !!!!
Onyo:
Mkiuua Mmoja wapo hakika Tanzania patachimbika!
Watanzania tumefunguka, kamwe hatutokaa kimya kama zamani!
Siku hizi hatuna wasomi kabisa. yaani huyu daktari mzima anatoa pumba kama layman bwana.
Kwanini wakokodie Al-shabab hapa hamna wauaji kama wataka kukuua, au unataka kupata sympathy za wakristo wenzako?
Mara mganga wa Songea mara yahya Hussein--yaani ujinga mtupu!
Wewe kama wataka kuhamia kwenye chama chenu, hama kwa amani hautakuwa wa kwanza kunguru wee!

Kwa kweli hapa yetu machoYetu macho
Mmiliki wa magazeti ya RAI, Mtanzania na Kampuni yenye utata ya Dowans,Rostam Aziz, ameamua kuvuruga upelelezi wa Polisi kuhusu Madai ya Dk. Mwakyembe ya njama za kumuua yeye na wenzake, wakiwemo
Mengi, Membe,Slaa, Mwandosya na Kilango kwa kuyaamuru magazeti yake kupotosha ushahidi uliowasilishwa Polisi na Mwakyembe. Kuanzia kesho magazeti yake yatafanya kazi kwa niaba ya Polisi kubeza ushahidi kama Mtanzania lilivyofanya Jana. Huu ni mwisho wa UTAWALA WA SHERIA!!!