Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,271
Mwakyembe aliyeikana tafiti yake ya Phd kwenye maoni ya Katiba mpya,ndo nguli wa sheria unayemtaja? Yule Mwakyembe kwanini uamini report yake ya Kamati teuli ilihali aliisaliti research yake ya taaluma? Mwakyembe naye ni opportunist tu. Mwakyembe na Sitta wote #Wasaka tonge tu hao!
Nashauri Lowasa amwage Mboga na Ugali vyote,
we muongo tu....ngoja mwakyembe aandae tamko lake kwa kifupi....
narudia tena kusema lowasa hasafishiki kwa namna yoyote ile. Ni majambazi wachache sana wanaokiri kuwa wameiba. nina hakika katiba/sheria ingekuwa inaruhusu lowasa angeminywa nanihii zake lazima angekiri kwani wizi wake ni wawazi kabisa. BAHATI MBAYA ccm INAMAAJABU MENGI