mabehewa bilioni 300,CAG anasema bandari bilioni 800,jumla trilioni moja,pi
Mwakyembe msaliti wa Intellect yake? Aliyekana tafiti yake ya PhD ? Utakuwa sijui nani yake wewe,maana mwakyembe ni fisadi tu kama Lowasa. Lowasa kawa-tym pabaya,mtasalimu Amri kwa Laigwanani.Nakuhakikishia kama utamwamsha lowasa usiku umwambie ni mwanasiasa gani unaemwogopa tz ,atakwambia ni dr mwakyembe na swali hlo hlo hata ukimfuata rostam na kumwuliza bdo atakwambia ni dk mwakyembe.lowasa amefanya kosa kubwa sana kujaribu kumwngiza dr mwakyembe kwenye hili na yeye anajua dk mwakyembe sio mtu wa kukurupuka na nilisha wahi kumuonya mzee kuhusu hili.
CCM ya wale waliojiita ati wapiganaji - imeshachoka!! walizidiwa kete baada tu ya kukubali zile teuzi, mbaya zaidi kiongozi wao naye kashaharibu record yake baada ya kuvurunda kwenye katiba mpya!!
Siasa ni timing!! - mjini hapa.
Huwa nakuaminia sana kwamba unajuwa mengi kumbe wewe upo gizani? Mwakyembe ni tayari mateka hana tena ujanja ana kashfa ya mabilioni ya mabehewa ya TRC na taarifa za uhakika nimezipata kutoka magogoni.
Lowasa mnqmchukulia poa lakini ukweli ni kwamba ameshamaliza kazi alikuwa anaawawchw mropoke tu.
Ole Sendeka baada ya kuona kimbunga ni kizito kajisalimisha mwenyewe na kupamba Lowasa bungeni.
Mwakyembe tulimpenda sana ila ufisadi ukampenda zaidi bora angekufa kwa sumu tu kuliko hasara aliyotuingiza shenzi kabisa huyu.
VOTE FOR UKAWA.
Embu niambie na uwe muungwana kwenye hili hv unafikiri ni nani alitaka kumuua mwakyembe kwa sumu?sikia waliotaka kumuua mwakyembe kwa sumu ni hao unaowatetea na walijua ukimuua mwakyembe umemaliza kazi kwa sababu kwao mwakyembe ni mtu hatari kuliko ukoma,moja anajua uchafu wao mbili haongeki tatu anasema ukweli daima lakini lililo kuu na wanalo lijua mwakyembe anakichwa chenye uwezo wa akili kuliko yoyote umuonaye na hamna namna ya kumrubuni kwa hyo wakaona kilicho baki ni kumuua,lakini cha ajabu mwili ukaitema sumu.jiulize unaujua mpango wa mungu kuhusu mwakyembe kama hujui tuliaHuwa nakuaminia sana kwamba unajuwa mengi kumbe wewe upo gizani? Mwakyembe ni tayari mateka hana tena ujanja ana kashfa ya mabilioni ya mabehewa ya TRC na taarifa za uhakika nimezipata kutoka magogoni.
Lowasa mnqmchukulia poa lakini ukweli ni kwamba ameshamaliza kazi alikuwa anaawawchw mropoke tu.
Ole Sendeka baada ya kuona kimbunga ni kizito kajisalimisha mwenyewe na kupamba Lowasa bungeni.
Mwakyembe tulimpenda sana ila ufisadi ukampenda zaidi bora angekufa kwa sumu tu kuliko hasara aliyotuingiza shenzi kabisa huyu.
VOTE FOR UKAWA.
ukaguzi ulifanyika bandarini si TRA,bandari iko chini ya mwakyembeNdo mana nasema kuna kazi kubwa kumchafua dk mwakyembe suala la bandari pale ule upotevu wa bilioni 800 ni suala la TRA ambao ndio wakusanya mapato pale bandarini,nivigumu kabisa kumhusisha dk mwakyembe na hilo,hapa kama unamtafuta mtu wa kumtupia mzigo ni waziri wa feza.haya hilo moja la mabehewa miongozo ya kiutendaji iko wazi waziri haruhusiwi kuingilia mchakato mzima wa tenda na sasa angalia mwakyembe alivyo mjanja alivyo ona kuna harufu ya rushwa kwenye tenda haraka aliagiza takukuru (pccb)kuchunguza na kuchukua hatua na hakuishia hapo akaunda na tume pia,hata sisi wenyewe ikatuwia vigumu kumshka kwenye hili
Kama Mwakyembe ni mzushi ilikuwaje wakapanga mbinu za kumuua kwa ile ajali kupitia lori la rafiki wa Lowasa? na vipi kuhusu kuwekewa sumu iliyomsababishia ngozi kuharibika? imefika wakati sasa Mwakyembe awaweke wazi waliohusika na kudhuru mwili wake na kwa nini walifanya hivyo.
bado madeni kipande hajaanza kudondosha anayoyajua wakati yuko bandariniTusubiri kwanza huyu "Mroho hasa" atapike yote huko Arusha, kisha huyu " Mwenye Kiwembe" amchanechane kabisa.
CC Lizaboni Pasco VUTA-NKUVUTE
kwishne,wizara ya uchukuzi imetosha kummalizaMzee Tupatupa, yaani wewe subiri tu jamaa kajiingiza kwenye 18, atalipuliwa sasa hivi, Dr. Mwakyembe ana mabomu mazito sana ya kummaliza kabisa Lowassa. Jamaa kakosa washauli alitakiwa akae kimya kabisa kama alivyo fanya siku za nyuma baada ya issue ya Richmond ile ndio ilikuwa busara.
Hana hoja mzee wa mabehewa na vichwa chakavu
CCM wanapotifuana wenyewe kwa wenyewe...
Hii ndio raha ya mwaka wa uchaguzi, unapata fursa ya kujua mnafiki ni yupi, mwenye kunena uongo ni yupi...nk
ukaguzi ulifanyika bandarini si TRA,bandari iko chini ya mwakyembe
Hana hoja mzee wa mabehewa na vichwa chakavu