lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,805
- 4,375
Dr. Mwakyembe kitendo cha kukana serekali tatu na kukubali serkali mbili alikana kitabu chake mwenyewe kilichompa PHD yake mwaka 1992 alisidika akiwa Ujerumani.
Kwenye kitabu chake aliandika kwa jinsi mfumo wa muungano ulivyo kwa wakati huu ni vizuri kukawa na muundo wa shirikisho lakini cha kushangaza kwenye bunge maalum la katiba akakana kitabu chake mwenyewe na kwa kufanya hivyo dhambi imeanza kumtafuna huko kwake Mbeya ameanza kuzomewa.
Mimi nilikuwa namkubali sana Mwakyembe kwenye kamati ya Richmond lakini toka amekana kitabu chake mwenyewe amenitoka kichwani kwangu.